gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
Ndo nimetoka hapo mkuu,copy ya barua ninayo..wanasema hawawezi kufunga mwaka nilipe hilo deni na nijaze ile return income nilipe,wamegoma kabisa aiseeAndika barua ya kufunga biashara, peleka tra, baki na nakala ya kudhibitisha kuwa imepokelewa. Inatosha
Asante mkuuPole mkuu
Meneja anakusukumia kwa secretary tu,Acha tuSasa wakudai kwa biashara gani unayofanya? Hebu muone Meneja wa tawi husika.
Vv
Meneja anakusukumia kwa secretary tu,Acha tu
Kilichobaki mpatie barua ya kumuarifu kuwa unafunga biashara kwa sababu ulizoainisha, kama ikiwezekana ambatanisha na leseni yako kabisa kuwa kwa sasa hutaitumia, utaomba nyingine ikiwa utataka kufanya biashara tena. Andika nakala tatu na zote zigongwe muhuri wao wa 'received' na nakala yako waigonge muhuri kwa uthibitisho, shauriana na mshauri wa masuala ya kodi na wakili anayefahamu sheria za kodi akushauri na ktk hiyo barua, nakala moja mkopie wakili wako kwa taarifa na nyingine uitunze mwenyewe ili baadae iwe msaada pindi wakikubana.Meneja anakusukumia kwa secretary tu,Acha tu
Shukrani mkuuKilichobaki mpatie barua ya kumuarifu kuwa unafunga biashara kwa sababu ulizoainisha, kama ikiwezekana ambatanisha na leseni yako kabisa kuwa kwa sasa hutaitumia, utaomba nyingine ikiwa utataka kufanya biashara tena. Andika nakala tatu na zote zigongwe muhuri wao wa 'received' na nakala yako waigonge muhuri kwa uthibitisho, shauriana na mshauri wa masuala ya kodi na wakili anayefahamu sheria za kodi akushauri na ktk hiyo barua, nakala moja mkopie wakili wako kwa taarifa na nyingine uitunze mwenyewe ili baadae iwe msaada pindi wakikubana.
Kwa utaratibu wanatakiwa kuijibu barua yako kwa njia ya posta (lkn barua yao wapelekee kwa mkono ili wathibitishe kuipokea kwa kugonga muhuri), kwa hiyo uonyeshe anwani yako kwenye barua unayowapa.
Vv
Wataendelea kukudai mkuuFunga sepa watabaki na makaratasi mwisho watachana.
Shukrani mkuupole mkuu kwa changamoto
Maafisa wa TRA wapo sahihi kufunga biashara lazima uhakikishe kwamba madeni yako yote yalipwe ndipo unaweza kufunga biashara yako... nakushauri. Lipa deni lako na uhakikishe wameKuClear then wape barua... kwa amani chaooooo mpk biashara ikirudi upya.Ndo nimetoka hapo mkuu,copy ya barua ninayo..wanasema hawawezi kufunga mwaka nilipe hilo deni na nijaze ile return income nilipe,wamegoma kabisa aisee
Duh,yani kama mtu huna hela ya kulipa na biashara imeaimama, maana yake deni linakuwa though hufanyi busness.Maafisa wa TRA wapo sahihi kufunga biashara lazima uhakikishe kwamba madeni yako yote yalipwe ndipo unaweza kufunga biashara yako... nakushauri. Lipa deni lako na uhakikishe wameKuClear then wape barua... kwa amani chaooooo mpk biashara ikirudi upya.
That means hutakuja fanya biashara tena, coz from what I know a little ni kwamba unaposhindwa kuifunga biashara yako itaendelea kusoma kwa tin number ile ile the ukijafyngua biashara mpya ile tin number yako ita resume na kodi itaendeleeeFunga sepa watabaki na makaratasi mwisho watachana.