gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
Guys habari zenu.
Nilifungua biashara mwakan juzi,ikawa inapiga kazi fresh;sasa mwaka huu mambo yameenda tofauti.
Nimeamua niifunge biashara,TRA wananidai pesa ya kodi,nimewaambia wafunge then ntawalipa,wamegoma wanasema nilipe then ndo wafunge.
Now hela sina,na ikiendelea kukaa bila kufungwa ndo deni lina zidi
Hivi hakuna njia nyingne ya kustopisha wakuuu? ?