Nawezaje kusimamisha ulipaji wa kodi ya biashara maana haiendi vizuri?

gentlemanx

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
2,375
Reaction score
7,217
Guys habari zenu.
Nilifungua biashara mwakan juzi,ikawa inapiga kazi fresh;sasa mwaka huu mambo yameenda tofauti.

Nimeamua niifunge biashara,TRA wananidai pesa ya kodi,nimewaambia wafunge then ntawalipa,wamegoma wanasema nilipe then ndo wafunge.

Now hela sina,na ikiendelea kukaa bila kufungwa ndo deni lina zidi

Hivi hakuna njia nyingne ya kustopisha wakuuu? ?
 
Sasa wakudai kwa biashara gani unayofanya? Hebu muone Meneja wa tawi husika.

Vv
 
Andika barua ya kufunga biashara, peleka tra, baki na nakala ya kudhibitisha kuwa imepokelewa. Inatosha
 
Ndo nimetoka hapo mkuu,copy ya barua ninayo..wanasema hawawezi kufunga mwaka nilipe hilo deni na nijaze ile return income nilipe,wamegoma kabisa aisee
 
Meneja anakusukumia kwa secretary tu,Acha tu

Kilichobaki mpatie barua ya kumuarifu kuwa unafunga biashara kwa sababu ulizoainisha, kama ikiwezekana ambatanisha na leseni yako kabisa kuwa kwa sasa hutaitumia, utaomba nyingine ikiwa utataka kufanya biashara tena. Andika nakala tatu na zote zigongwe muhuri wao wa 'received' na nakala yako waigonge muhuri kwa uthibitisho, shauriana na mshauri wa masuala ya kodi na wakili anayefahamu sheria za kodi akushauri na ktk hiyo barua, nakala moja mkopie wakili wako kwa taarifa na nyingine uitunze mwenyewe ili baadae iwe msaada pindi wakikubana.

Kwa utaratibu wanatakiwa kuijibu barua yako kwa njia ya posta (lkn barua yao wapelekee kwa mkono ili wathibitishe kuipokea kwa kugonga muhuri), kwa hiyo uonyeshe anwani yako kwenye barua unayowapa.

Shukrani mkuu
 
Ndo nimetoka hapo mkuu,copy ya barua ninayo..wanasema hawawezi kufunga mwaka nilipe hilo deni na nijaze ile return income nilipe,wamegoma kabisa aisee
Maafisa wa TRA wapo sahihi kufunga biashara lazima uhakikishe kwamba madeni yako yote yalipwe ndipo unaweza kufunga biashara yako... nakushauri. Lipa deni lako na uhakikishe wameKuClear then wape barua... kwa amani chaooooo mpk biashara ikirudi upya.
 
Duh,yani kama mtu huna hela ya kulipa na biashara imeaimama, maana yake deni linakuwa though hufanyi busness.
 
Funga sepa watabaki na makaratasi mwisho watachana.
That means hutakuja fanya biashara tena, coz from what I know a little ni kwamba unaposhindwa kuifunga biashara yako itaendelea kusoma kwa tin number ile ile the ukijafyngua biashara mpya ile tin number yako ita resume na kodi itaendeleee
 
wanaotaka kununua biashara tangaza dau mtu anunue mkubaliane deni na manunuzi ya ofisi huishi kwa aman...
 
Back
Top Bottom