Nawezaje kutibu shida ya kibamia

Nawezaje kutibu shida ya kibamia

Kuna kijana umri ni 35, anajiweza ana kazi nzuri tuna unasaba nae, leo kaniambia kuwa ana uume mdogo, kiasi anapata hofu kujamiiana na mwanamke.

Sasa kaniomba ushauri kama kuna dokta ambae anaweza kumsaidia ili uume uwe mrefu,sasa mie sina kabisa uulewa juu ya mambo haya, kama kuna mtu ana ujuzi wa mambo haya, basi aniarifu
Njoo serious nikupe dawa. Utachagua mwenyewe mtalimbo uutakao. Ni dawa ya kienyeji Haina madhara yoyote
 
Tunamaliza week na vibamia
Mwingine kule anamiliki inch 2.3

DJ walete
Wakisindikizwa na "sitaki kibamia, mwanaume mashine" kwa sauti ya maua sama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yawezekana akawa hana Kibahundred,sema ni kwamba anachukua majitu yenye mavinu mabwaku yaliyozoea kutwangiwa Makande!
Mshachukua na neno langu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekuchaaaa
 
Dawa zipo ila nimefuatilia zina madhara mkubwa sana hapo maadaye;Mashine itakuwa haisimami vizuri.
 
Kuna kijana umri ni 35, anajiweza ana kazi nzuri tuna unasaba nae, leo kaniambia kuwa ana uume mdogo, kiasi anapata hofu kujamiiana na mwanamke.

Sasa kaniomba ushauri kama kuna dokta ambae anaweza kumsaidia ili uume uwe mrefu,sasa mie sina kabisa uulewa juu ya mambo haya, kama kuna mtu ana ujuzi wa mambo haya, basi aniarifu
1.Aoe bikra tu na si zaidi ya hapo au:
2.Aende kigoma ale mizizi fulani ya kule
 
Unaweza kuwa na ub.oo mkubwa kama mkono wa mtoto na ukamtomba mwanamke zaidi ya saa nzima na asikojoe.

Na wengine wana mb.oo kubwa ila pia wana tatizo la kuwa pindi linaposimama huwa legelege yaani halikazi.
 
1.Aoe bikra tu na si zaidi ya hapo au:
2.Aende kigoma ale mizizi fulani ya kule
Hamna cha kuoa bikra wala nini, siku ikitokea Huyo mkeo akacheat lazima akuache,hapo ndipo watu inabidi wajue sio kila MTU lazima aoe au kuolewa wengine ni kujisumbua tu,,hamna mizizi wala mini itakayokusaidia,,yani hio dawa ikaongeze sehemu moja tu ya mwili,mikono isiongezeke miguu isiongezeke yani yenyewe kazi yake kukuza tu sehemu moja,hahaha tuwaze critically!
 
Ni minor issue ukiwa huna hill tatizo, ukiwa nalo ni major issue sana tu,na kila saa linakua akilini mwako,,Cheka sana ongea sana furahia utakavyo shukuru hayajakukuta na omba yasimkute ndugu yako!
Inawezekana sina hilo tatizo nikawa na tatizo la kutosimamisha. Mkuu duniani kila mtu kwa namna yake anapitia changamoto fulani, just how to deal with it, kwangu hilo ndio la msingi zaidi.
 
Inawezekana sina hilo tatizo nikawa na tatizo la kutosimamisha. Mkuu duniani kila mtu kwa namna yake anapitia changamoto fulani, just how to deal with it, kwangu hilo ndio la msingi zaidi.
Yeah kweli kabisa, kitu nilichojifunza ni kutomcheka wala kumkebehi mtu yeyote anayepitia hali flani inayoonekana sio ya kawaida,na kitaalamu zaidi kama unashida yoyote jikaze jitie moyo nenda hospitalini kwa ushauri wa kidaktari
 
tumeambatana nae kwa madaktari zaidi ya 5 na imeshindikana,hakuna tiba ya kuongeza uume,sasa anafanyiwa kanselingi ili kumjenga ajikubali.Asante kwa wote mliotoa maoni yenu
 
Back
Top Bottom