Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Njoo serious nikupe dawa. Utachagua mwenyewe mtalimbo uutakao. Ni dawa ya kienyeji Haina madhara yoyoteKuna kijana umri ni 35, anajiweza ana kazi nzuri tuna unasaba nae, leo kaniambia kuwa ana uume mdogo, kiasi anapata hofu kujamiiana na mwanamke.
Sasa kaniomba ushauri kama kuna dokta ambae anaweza kumsaidia ili uume uwe mrefu,sasa mie sina kabisa uulewa juu ya mambo haya, kama kuna mtu ana ujuzi wa mambo haya, basi aniarifu
Wakisindikizwa na "sitaki kibamia, mwanaume mashine" kwa sauti ya maua samaTunamaliza week na vibamia
Mwingine kule anamiliki inch 2.3
DJ walete
Mshachukua na neno langu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yawezekana akawa hana Kibahundred,sema ni kwamba anachukua majitu yenye mavinu mabwaku yaliyozoea kutwangiwa Makande!
1.Aoe bikra tu na si zaidi ya hapo au:Kuna kijana umri ni 35, anajiweza ana kazi nzuri tuna unasaba nae, leo kaniambia kuwa ana uume mdogo, kiasi anapata hofu kujamiiana na mwanamke.
Sasa kaniomba ushauri kama kuna dokta ambae anaweza kumsaidia ili uume uwe mrefu,sasa mie sina kabisa uulewa juu ya mambo haya, kama kuna mtu ana ujuzi wa mambo haya, basi aniarifu
Kwa uandishi huu wewe sio mtu wa 60 hata kidogo.Kwamba mstaafu ndio wa kusema "bro,mie am...."bro sio mie,am 60 yrs mie hata ningekuwa na kibamia kwa umri huu nisingekuja kutafuta dawa maana muda wangu umeisha
Ni minor issue ukiwa huna hill tatizo, ukiwa nalo ni major issue sana tu,na kila saa linakua akilini mwako,,Cheka sana ongea sana furahia utakavyo shukuru hayajakukuta na omba yasimkute ndugu yako!Mnateswa na minor issues sana.
Watu kama wewe mpo wengi tu kwa sababu kwako waona ni rahisi, amini kwamba confidence haipo hata ya kuongea tu na Huyo mwanamke mwenyewe.Mwambie ajiamini na atafute mwenza atakayefurahia hicho kidogo alichonacho
Dawa hamna usidanganye watu, wapo watu waliotayari kulipa in thousands $$ kama Huyo dawa ingekuepoEeh mie nadawa najua mtaalam anayo ila unahela??
Hanna dawa! Msijazane ujingaMwambie atembelee ofisi za BFSUMA zipo nchi nzima atapata suluhisho la tatizo lake
Hamna cha kuoa bikra wala nini, siku ikitokea Huyo mkeo akacheat lazima akuache,hapo ndipo watu inabidi wajue sio kila MTU lazima aoe au kuolewa wengine ni kujisumbua tu,,hamna mizizi wala mini itakayokusaidia,,yani hio dawa ikaongeze sehemu moja tu ya mwili,mikono isiongezeke miguu isiongezeke yani yenyewe kazi yake kukuza tu sehemu moja,hahaha tuwaze critically!1.Aoe bikra tu na si zaidi ya hapo au:
2.Aende kigoma ale mizizi fulani ya kule
Inawezekana sina hilo tatizo nikawa na tatizo la kutosimamisha. Mkuu duniani kila mtu kwa namna yake anapitia changamoto fulani, just how to deal with it, kwangu hilo ndio la msingi zaidi.Ni minor issue ukiwa huna hill tatizo, ukiwa nalo ni major issue sana tu,na kila saa linakua akilini mwako,,Cheka sana ongea sana furahia utakavyo shukuru hayajakukuta na omba yasimkute ndugu yako!
Yeah kweli kabisa, kitu nilichojifunza ni kutomcheka wala kumkebehi mtu yeyote anayepitia hali flani inayoonekana sio ya kawaida,na kitaalamu zaidi kama unashida yoyote jikaze jitie moyo nenda hospitalini kwa ushauri wa kidaktariInawezekana sina hilo tatizo nikawa na tatizo la kutosimamisha. Mkuu duniani kila mtu kwa namna yake anapitia changamoto fulani, just how to deal with it, kwangu hilo ndio la msingi zaidi.
tumeambatana nae kwa madaktari zaidi ya 5 na imeshindikana,hakuna tiba ya kuongeza uume,sasa anafanyiwa kanselingi ili kumjenga ajikubali.Asante kwa wote mliotoa maoni yenuYeah kweli kabisa, kitu nilichojifunza ni kutomcheka wala kumkebehi mtu yeyote anayepitia hali flani inayoonekana sio ya kawaida,na kitaalamu zaidi kama unashida yoyote jikaze jitie moyo nenda hospitalini kwa ushauri wa kidaktari