Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 347
- 560
Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa ni western union au money gram kwahiyo hatoweza kuwa anaenda huko mara Kwa mara kutuma pesa.
Je kuna njia yoyote mfano App ama namna yoyote ambayo anaweza akawa anatuma pesa kutoka Pakistan kuja Tanzania nami niweze kupokea kiurahisi kwenye mobile wallet ama bank ama vyovyote vile?
Msaada wa haraka unahitajika kw mnaofahamu tafadhali.
Natanguliza shukran.