Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 347
- 560
Naomba muongozo mkuu sifahamu lolote naanza je?Tumia binance mkuu
Nimeomba ushauri Kwa wanaojua, mtu mzima anapaswa kujielewaKwa kutumia matrekta 10 million📌
Sasa unanipangia cha kukushauri we mpuuzi nini.Sasa kama wajielewa mbona unashindwa kujiongeza njia zipo nyingi...Kileja wahedi wewe😆Nimeomba ushauri Kwa wanaojua, mtu mzima anapaswa kujielewa
AsanteSasa unanipangia cha kukushauri we mpuuzi nini.Sasa kama wajielewa mbona unashindwa kujiongeza njia zipo nyingi...Kileja wahedi wewe😆
Nielekeze bossworldremit mkuu
Hahahaha!!Asante
Tumia skrill mkuu mtumiee pesa directly kwenye account yako. Wana exchange rate nzuri sana pia na ukituma leo kesho tu jioni inasoma au asubuhi.Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa ni western union au money gram kwahiyo hatoweza kuwa anaenda huko mara Kwa mara kutuma pesa.
Je kuna njia yoyote mfano App ama namna yoyote ambayo anaweza akawa anatuma pesa kutoka Pakistan kuja Tanzania nami niweze kupokea kiurahisi kwenye mobile wallet ama bank ama vyovyote vile?
Msaada wa haraka unahitajika kw mnaofahamu tafadhali.
Natanguliza shukran.