ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
kg 80 wewe sio bonge kweli?Rangi-mweusi kabisa
Urefu -167 CM (5.6 Ft)
Uzito - 80Kg
Nywele ni nyingi za kawaida tu ila zinakua kwa kasi (nanyoa kila baada ya wiki mbili)
Ndevu ni zile za O (kuzunguka mdomo)
Hapo mkuu naamini umepata picha
Mengine ni kuwa "kigoma hamtoki"Hahahha! Ukiacha hili la ujio wa mzee Mpili, Mengine yapi mkuu?
Punguza uzito kidogo..... Otherwise tafuta nguo zinazoendana na wewe.Rangi-mweusi kabisa
Urefu -167 CM (5.6 Ft)
Uzito - 80Kg
Nywele ni nyingi za kawaida tu ila zinakua kwa kasi (nanyoa kila baada ya wiki mbili)
Ndevu ni zile za O (kuzunguka mdomo)
Hapo mkuu naamini umepata picha
Hivi unaweza kuongea huku umefumba mdomo?Punguza uzito kidogo..... Otherwise tafuta nguo zinazoendana na wewe.
Ukiwa kitaa piga jeans zisizopwaya sana wala zisikubane, piga shots, vaa t shirt zisizo na kola.... Kwa kuwa ni mweusi epuka nguo za kung'aa sana na nyeusi tupu. Pendelea kuvaa saa nzuri na viatu simple tu (macho ya wengi huwa kwenye saa na viatu)....
Kama kazini piga surual za kawaida kadeti, vitambaa vya kawaida ila si vyepesi sana, usipiga pasi ukaweka upanga (old style). Weka kiatu standard tu ila kisipauke wala kuchakaa kuwa na pair hata 3. Vaa mashati yanayoendana na mwili wako yasikupwaye. Yasikubane sana kitambi kikaonekaba. Kama unachomekea epuka kuvaa tai mara kwa mara. Kama unachomolea angalia shati lisiwe refu sana lisizidi eneo la uune wako mpaka chini.
If your face sio ile nzuri sana nakushauri ondoa hiyo "O" sometime inaleta uzushi flani baki na low cut mustache na mzuzu wa kiasi..... Ukiongea usifungue mdomo kama una hutubia.... Safisha macho yangu yawe angavu.
Mwendo: Jitahidi kutembea as a teacher, mwondoko wa heshma na uwe stable sio unatembea kama umetoka kuvua kware mikono unarusha rusha. Do you know kun manager walk?
Kuangalia watu: kama unaongea na mtu epuka kumkazia macho sana kama unamdai tend to roll you eyes sehemu nyingine. Usiweke stick mdomoni kwako wakati wa maongezi.
Kaa kwenye kiti: usijbinue kama una ugonjwa wa bawasiri, be straight chapa hata nne za kiume.
Handshaking: ukisalimiana na mtu mpe mkono wako full, shake then utoe usikae sana akabororeka....
Kuwa na vitu vidogo vidogo hengachif, saa, cheni ndogo....
Kunyoa: achana na maviduku, ukinyoa low cut angalia usichongwe kama mnajenga msingi....
Use the right cosmetics: usitumie mavipodozi ya kukuchubua. Tumia vya kiume.
Ukiongea: Usiwe mpayukaji control your voice, angalia usirushe mate, cultivate ur smile all the time. Agree to disagree usiwe mbishi kama muha au msukuma.
Practise your walk.... Usidundike kihuni.
All in all find the good company.... Na kama wewe sio mlevi usiwe na kampani ya walevi....
Time will hill..... Good lucky champ...
Safi mkuuAsubuhi na jioni mkuu
Hatimae mwanaume wa mkoani kaingia Dar
Appreciated!,Punguza uzito kidogo..... Otherwise tafuta nguo zinazoendana na wewe.

Yah sure kuna ile ukikulia mazingira flani ukihamia mapya unajikuta wa tofauti kiasi. Kuanzia kuongea, kusimama, kutembea, kuimba, jinsi ya kucheza, jinsi ya kuvaa, mambo unayopendelea..... Yani watu wanasema yule mlugha lugha.... So u need to adopt slowly.....Appreciated!,
Nashukuru sana mkuu. Will try out ninachoweza kufanya.
Inawezekana watu wamenielewa tofauti, niliposema "mvuto" nilimaanisha kuondoka kile kiushamba flani hivi...but all the same umesaidia.
Unaweza kuwa na hela halafu ukawa mshamba na kituko....Piga tizi tengeneza kifua, six-packs, leg muscles then tafuta PESA nyingi, bila kusahau ibada
Mvuto tayari,
Kuna watu wanaongea mpaka unaona koromeo.... Anafungua mdomo kama anapayuka, lips ziwe na mipaka.. The same kwenye kula utakuta nyaam nyaaam nyaaam disgusting...Hivi unaweza kuongea huku umefumba mdomo?
Atapata nini? Mbona tunamshauri vyema gentleman mwenzetu..... Hatuna baya sisi.Unachokitafuta utakipata [emoji848][emoji848]
Point iko hapaPunguza uzito kidogo..... Otherwise tafuta nguo zinazoendana na wewe.