MAMESHO
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,432
- 1,738
Ndo ivyo, ukute hana hata hela ya kwenda vunja beiMleta mada kaa hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ivyo, ukute hana hata hela ya kwenda vunja beiMleta mada kaa hapa.
Kwa kimo chako huo uzito ni mkubwa sana jitahidi uupunguzeRangi-mweusi kabisa
Urefu -167 CM (5.6 Ft)
Uzito - 80Kg
Nywele ni nyingi za kawaida tu ila zinakua kwa kasi (nanyoa kila baada ya wiki mbili)
Ndevu ni zile za O (kuzunguka mdomo)
Hapo mkuu naamini umepata picha
This is greatPunguza uzito kidogo..... Otherwise tafuta nguo zinazoendana na wewe.
Ukiwa kitaa piga jeans zisizopwaya sana wala zisikubane, piga shots, vaa t shirt zisizo na kola.... Kwa kuwa ni mweusi epuka nguo za kung'aa sana na nyeusi tupu. Pendelea kuvaa saa nzuri na viatu simple tu (macho ya wengi huwa kwenye saa na viatu)....
Kama kazini piga surual za kawaida kadeti, vitambaa vya kawaida ila si vyepesi sana, usipiga pasi ukaweka upanga (old style). Weka kiatu standard tu ila kisipauke wala kuchakaa kuwa na pair hata 3. Vaa mashati yanayoendana na mwili wako yasikupwaye. Yasikubane sana kitambi kikaonekaba. Kama unachomekea epuka kuvaa tai mara kwa mara. Kama unachomolea angalia shati lisiwe refu sana lisizidi eneo la uune wako mpaka chini.
If your face sio ile nzuri sana nakushauri ondoa hiyo "O" sometime inaleta uzushi flani baki na low cut mustache na mzuzu wa kiasi..... Ukiongea usifungue mdomo kama una hutubia.... Safisha macho yangu yawe angavu.
Mwendo: Jitahidi kutembea as a teacher, mwondoko wa heshma na uwe stable sio unatembea kama umetoka kuvua kware mikono unarusha rusha. Do you know kun manager walk?
Kuangalia watu: kama unaongea na mtu epuka kumkazia macho sana kama unamdai tend to roll you eyes sehemu nyingine. Usiweke stick mdomoni kwako wakati wa maongezi.
Kaa kwenye kiti: usijbinue kama una ugonjwa wa bawasiri, be straight chapa hata nne za kiume.
Handshaking: ukisalimiana na mtu mpe mkono wako full, shake then utoe usikae sana akabororeka....
Kuwa na vitu vidogo vidogo hengachif, saa, cheni ndogo....
Kunyoa: achana na maviduku, ukinyoa low cut angalia usichongwe kama mnajenga msingi....
Use the right cosmetics: usitumie mavipodozi ya kukuchubua. Tumia vya kiume.
Ukiongea: Usiwe mpayukaji control your voice, angalia usirushe mate, cultivate ur smile all the time. Agree to disagree usiwe mbishi kama muha au msukuma.
Practise your walk.... Usidundike kihuni.
All in all find the good company.... Na kama wewe sio mlevi usiwe na kampani ya walevi....
Time will heal..... Good lucky champ...
Hivi unaweza kuongea huku umefumba mdomo?
[emoji23][emoji23][emoji23] why ccm??Umeambiwa ongea kwa step sio unaongea kama wanasiasa wa ccm wanapanua mdomo wote kama wanataka kumeza wananchi
ebu endelea kidogo mkuuPunguza uzito kidogo..... Otherwise tafuta nguo zinazoendana na wewe.
Ukiwa kitaa piga jeans zisizopwaya sana wala zisikubane, piga shots, vaa t shirt zisizo na kola.... Kwa kuwa ni mweusi epuka nguo za kung'aa sana na nyeusi tupu. Pendelea kuvaa saa nzuri na viatu simple tu (macho ya wengi huwa kwenye saa na viatu)....
Kama kazini piga surual za kawaida kadeti, vitambaa vya kawaida ila si vyepesi sana, usipiga pasi ukaweka upanga (old style). Weka kiatu standard tu ila kisipauke wala kuchakaa kuwa na pair hata 3. Vaa mashati yanayoendana na mwili wako yasikupwaye. Yasikubane sana kitambi kikaonekaba. Kama unachomekea epuka kuvaa tai mara kwa mara. Kama unachomolea angalia shati lisiwe refu sana lisizidi eneo la uune wako mpaka chini.
If your face sio ile nzuri sana nakushauri ondoa hiyo "O" sometime inaleta uzushi flani baki na low cut mustache na mzuzu wa kiasi..... Ukiongea usifungue mdomo kama una hutubia.... Safisha macho yangu yawe angavu.
Mwendo: Jitahidi kutembea as a teacher, mwondoko wa heshma na uwe stable sio unatembea kama umetoka kuvua kware mikono unarusha rusha. Do you know kun manager walk?
Kuangalia watu: kama unaongea na mtu epuka kumkazia macho sana kama unamdai tend to roll you eyes sehemu nyingine. Usiweke stick mdomoni kwako wakati wa maongezi.
Kaa kwenye kiti: usijbinue kama una ugonjwa wa bawasiri, be straight chapa hata nne za kiume.
Handshaking: ukisalimiana na mtu mpe mkono wako full, shake then utoe usikae sana akabororeka....
Kuwa na vitu vidogo vidogo hengachif, saa, cheni ndogo....
Kunyoa: achana na maviduku, ukinyoa low cut angalia usichongwe kama mnajenga msingi....
Use the right cosmetics: usitumie mavipodozi ya kukuchubua. Tumia vya kiume.
Ukiongea: Usiwe mpayukaji control your voice, angalia usirushe mate, cultivate ur smile all the time. Agree to disagree usiwe mbishi kama muha au msukuma.
Practise your walk.... Usidundike kihuni.
All in all find the good company.... Na kama wewe sio mlevi usiwe na kampani ya walevi....
Time will heal..... Good lucky champ...
Halafu kutwa kuwasema wanaume wa Dar kumbe wanazizimia swaga Zao.Hatimae mwanaume wa mkoani kaingia Dar
Akizigatia hii lazima gentlemen apige hodiPunguza uzito kidogo..... Otherwise tafuta nguo zinazoendana na wewe.
Ukiwa kitaa piga jeans zisizopwaya sana wala zisikubane, piga shots, vaa t shirt zisizo na kola.... Kwa kuwa ni mweusi epuka nguo za kung'aa sana na nyeusi tupu. Pendelea kuvaa saa nzuri na viatu simple tu (macho ya wengi huwa kwenye saa na viatu)....
Kama kazini piga surual za kawaida kadeti, vitambaa vya kawaida ila si vyepesi sana, usipiga pasi ukaweka upanga (old style). Weka kiatu standard tu ila kisipauke wala kuchakaa kuwa na pair hata 3. Vaa mashati yanayoendana na mwili wako yasikupwaye. Yasikubane sana kitambi kikaonekaba. Kama unachomekea epuka kuvaa tai mara kwa mara. Kama unachomolea angalia shati lisiwe refu sana lisizidi eneo la uune wako mpaka chini.
If your face sio ile nzuri sana nakushauri ondoa hiyo "O" sometime inaleta uzushi flani baki na low cut mustache na mzuzu wa kiasi..... Ukiongea usifungue mdomo kama una hutubia.... Safisha macho yangu yawe angavu.
Mwendo: Jitahidi kutembea as a teacher, mwondoko wa heshma na uwe stable sio unatembea kama umetoka kuvua kware mikono unarusha rusha. Do you know kun manager walk?
Kuangalia watu: kama unaongea na mtu epuka kumkazia macho sana kama unamdai tend to roll you eyes sehemu nyingine. Usiweke stick mdomoni kwako wakati wa maongezi.
Kaa kwenye kiti: usijbinue kama una ugonjwa wa bawasiri, be straight chapa hata nne za kiume.
Handshaking: ukisalimiana na mtu mpe mkono wako full, shake then utoe usikae sana akabororeka....
Kuwa na vitu vidogo vidogo hengachif, saa, cheni ndogo....
Kunyoa: achana na maviduku, ukinyoa low cut angalia usichongwe kama mnajenga msingi....
Use the right cosmetics: usitumie mavipodozi ya kukuchubua. Tumia vya kiume.
Ukiongea: Usiwe mpayukaji control your voice, angalia usirushe mate, cultivate ur smile all the time. Agree to disagree usiwe mbishi kama muha au msukuma.
Practise your walk.... Usidundike kihuni.
All in all find the good company.... Na kama wewe sio mlevi usiwe na kampani ya walevi....
Time will heal..... Good lucky champ...
Habari wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimezaliwa kijijini na kukulia huko. Mjini wa mara ya kwanza nilikuja kwaajili ya masomo.
Pamoja na kwamba kazi yangu inanilazimu kuvaa kistaarabu, bado nahisi sijafikia vile viwango ya kuwa "gentleman" na natamani sana kutupia pamba kama baadhi ya vijana huko mtaani.
Naombeni ushauri wenu wa vitu kama; aina za mavazi (suruali, shirt, viatu, Tshirt nk), marashi na deodorant...pamoja na pigo zingine zenye mwelekeo.
Na hapa mjini Dar ninapata wapi hivi vitu (najua maduka lakini nataka vitu classic, siyo hizi zangu za Karume).
Shukrani
Churaaaa duuuuUsifuge kitambi. Pia chura iwe ya wastani
Bahati mbaya hatujui kipato chako, hiki ni muhimu sana. Ipo hivi:
Kwanza jitambue umbile lako.
Wewe ni:
1.Mrefu/mfupi/wastani?
2.Mweusi/mng'avu/maji ya kunde?
3.Mnene/mwembamba/ wastani?
4.Viungo kama kichwa /mikono/miguu ipoje?
5.Mzee/Kijana/ umri wa kati?
Je, hali ya hewa au aina ya kazi zako?
1.Baridi, wastani au joto?
2.Wewe ni mhandisi/mwalimu/daktari... au ?
Haya ni mambo muhimu kuyajua. Unaweza kushangaa kwanini rangi? Kwanini mweusi au mng'avu, unene au wembamba, kwanini kichwa kikubwa au cha mviringo,au kidogo au una chogo? Maumbile na muonekano wako huchagua aina za mavazi. Kwa mfano, wenye ngozi nyeusi inabidi kuwa makini sana na rangi za nguo. Rangi zenye kung'aa sana si rafiki sana. Au mbichwa ukikaa tenge, kuna vitu huwezi kufanya. Inabidi ujue staili ya kunyoa utakayoendana nayo, miwani utakayovaa au kuacha kabisa. Usione mtu havai kofia au miwani ya mapambo, au kaputula, wengine ni sababu za maumbile. Wengi wetu hatujali haya mwisho unaishia kuwa katuni. Kuna staili hazikufai wewe, zinamfaa yule na kinyume chake. Kuna mavazi ya umri fulani, jitambue upo wapi.
Pia, kuna suala la wapi unakwenda ofisini ama harusini?, ufukweni kupunga upepo? mjini kuzurura? Hainogi mtu mwisho wa wiki unakwenda tu shopping pale mlimani city umekula full suit utasema Waziri unafuata dawa ya corona Madagascar. Unaenda mtoko wa jioni kwenye kudate na sister duu, umepiga pamba za wapuliza tarumbeta wetu hawa duni wa harusini. Hivyo, wakati wote jiulize sehemu unayokwenda kisha ujue huko kunavaliwaje.
Nimeona hapo unadai uonyeshwe maduka. Kuna kitu unakosea, nitakuambia. Sidhani kama maduka ni ngumu kuyapata. Cha msingi ukitaka kupendeza penda kuvaa au kutumia vitu halisi na madhubuti. Bahati mbaya Tz kutokana na tabia MBAYA za sisi wateja (kupenda vya chee na kutojua vitu) pamoja na hali ya uchumi, wafanyabiashara hawaleti vitu bora madukani. Wanatumia ujinga na TABIA zetu kutuhujumu. Ni maduka machache sana utakutana na nguo zenye afadhali, nazo ni ghali sana (na bado utapigwa tu). Vingi ni kopi tu ya nguo za Uzunguni. Baadhi watabisha , lakini, hakuna suruali mpya ya kuvaa wewe mtu mzima ikauzwa 25, 000/=, 40,000/= ,50,000/= kama tunavyoaminishwa hapa Tz. Nguo za ukweli, kama unataka dukani fikiria 100,000 kwenda juu. Hali ni hiyohiyo kwa viatu, saa, mikanda n.k. Usije kuvaa saa ya kichinga, ya 30,000/=, 50,000/=, 60,000/= ukadhani umevaa saa. Wewe una mfano wa saa. Na kwa kawaida huwa yana mng'ao fulani hivi anaejua anajua tu ni mdosho.
Sasa kwanini nimekwambia unakosea? Vitu halisi hapa Tz ni adimu. Maduka mengi huuza mdosho na bei kali. Sasa unaowaona wajanja wanapendeza mjini wengi usifikiri ni dukani bali wanavaa used namba one(mitumba grade one). Hivyo, nilidhani ungejifunza kutafuta wauza mitumba grade one. Wenzako tuna namba za wauza mitumba, yupo Namanga akitokea Nairobi tushaambiwa anaingia muda gani. Basi akitua tu tunae. Ukiwa unakubali utaratibu huu, usiwe bahili, kubali shati kununua kwa 25,000/=, suruali kama Chino(wabongo mnaita Kadet) , elfu 30, 40 hata 50 kulingana na ubora. Kama utapata docho ama mshikaji anakutoa kwa bei zetu za Buza sawa lakini nijuavyo huwa wanapiga bei za hivyo (Hakuna kinachoshindikana lakini, ni wewe na ujanja wako hapo). Ila nikuhakikishie, ukipata mtumba grade one, mtu aliyenunua nguo maduka yetu hayo ya kitozi atasubiri sana. Hizi pamoja na kuwa ni used, utapendeza na kukaa navyo kwa siku kadhaa. Kama mtunzaji, utazichoka tu na kumpa nduguyo aliyetoka kijijini akamalize. Hazichujuki kirahisi. Ninakerwa sana na jamaa zangu wale wanavaa visuruali fake vina lebel kubwa kama Giorgio Armani , Zara, Gucci, CK n.k, halafu vimepauka magotini baada ya kufua mara mbili tu.
Kuhusu marashi, uturi, manukato n.k. pia mwendo ni huohuo. Lakini, huku hakuna za mtumba, so, utabanana madukani. Kama itabidi kutumia hizi fake zetu, jitahidi kutafuta zile zisizo na harufu kaliiiiiiii. Ni vema ukaweka kitu ipo cool. Siyo marashi yana keleele, ukiingia tu ofisini au daladala kila mtu pua inahisi umeingia. Sifa ya marashi mazuri hayana kelele ila ni MATAMU kishenzi. Yani ukimkumbatia mwenza hataki kukuachia. Kwenye mbanano wa daladala (KAMA UNATUMIA USAFIRI HUU) utawapunguzia wenzako kutapika ama kukosa hewa.
Msisitizo
1.Penda kutumia vitu halisi. Achana na maplastiki na fake fake.
2.Kuhusu mitumba ni suala la mtazamo. Si lazima kuvaa mitumba, wapo wanaoapa kutovaa mtumba. Hivyo sikulazimishi, fanya maamuzi sahihi.Tunafahamu si jambo jema kiafya bali mazingira yetu yanatulazimisha kufanya hivyo. Sasa hivi unaweza hata kuwa na hela ya kutosha, lakini, kupata vitu bora imekuwa mtihani sana hapa Tz. Kama unafuatilia mara kwa mara humu JF watu huuliza maduka ya mtandaoni, mengi si ya uhakika. Hivyo, tunalazimika kununua masalia ya kina Trump.
3. Kwa vitu visivyonunuliwa mara kwa mara kama saa, na havihitaji vipimo, unaweza jitahidi kuagiza nje. Tafuta jamaa yako aliyepo abroad, akusaidie. Unatime siku anakuja anakuletea mzigo.
Pia, penda kufuatilia kwa kujoin groups au pages za mavazi upate kujua mambo ya nyakati. Mengine ni kujua tu ,si lazima ununue maana bidhaa za uzunguni ni nyoko kwa ubora na bei. Ila itakusaidia kujua kumbe bongo tunatania kisha ukajitune kulingana na hali.
![]()
Skolyx
Skolyx. Gefällt 3.670 Mal · 54 Personen sprechen darüber. Online shop for shoes, accessories, shoe care accessories and clothing care accessories. Based in Swwww.facebook.com
Bei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.www.facebook.com

N.B
Huu ni mtazamo wangu binafsi. Mtu mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti kwani mambo haya ni kihisia zaidi kuliko sayansi
Tafakari, chukua hatua
Mazoezi ya muhimu sanaPiga mazoezi kunywa maji mengi kula mboga na matunda nguo ni kizibo tu
Mkuu naomba tuheshimianePiga mazoezi kunywa maji mengi kula mboga na matunda nguo ni kizibo tu