Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

Rangi-mweusi kabisa
Urefu -167 CM (5.6 Ft)
Uzito - 80Kg

Nywele ni nyingi za kawaida tu ila zinakua kwa kasi (nanyoa kila baada ya wiki mbili)

Ndevu ni zile za O (kuzunguka mdomo)

Hapo mkuu naamini umepata picha
Kwa kimo chako huo uzito ni mkubwa sana jitahidi uupunguze

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mvuto wa mwanaume ni hela tuu hakuna kingine ,piga kazi kijana tafuta hela mavazi waachie wanawake
 
This is great
 
ebu endelea kidogo mkuu
 
HII FORUM NI YA UREMBO, MVUTO NA UTANASHATI MTU KAULIZA SUALA AKIWA NDANI YA MLENGO WA FORUM MNAANZA KURUSHA MANENO YA SHOMBO SHOMBO AS IF KATUMA SEHEM YA KAMBI YA JESHI.
KAMA MAMBO YA UTANASHATI SIO VITU VYAKO HATA HII FORUM USIINGIE SIO KILA NAMNA YA UTANASHATI NDO INAHUSISHWA NA UCHOKO KUWENI NA HESHMA BASI NA WENGI MNAOLETA HIZO NEGATIVE THOUGHTS NDO MNATIA SHAKA SANA
 
Akizigatia hii lazima gentlemen apige hodi
 
Tafuta pesa kwanza💸💸
 
 
Hata ukiwa na sura Chachu kama marehemu Iddi Amini, tafuta fedha na usafiri tu huo ni mvuto halisi kwa Kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…