Nipher_21st
Member
- Jan 14, 2022
- 46
- 20
Nahitaji kuwa mwanachama hai wa UVCCM kuhudhuria mikutano na chaguzi mbalimbali zinazoendelea za UVCCM, Je nawezaje kujiunga mahali nilipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutumia namba ya Mwenyekiti BAVICHA akupe maelekezo.nahitaji kuwa mwanachama hai wa uvccm kuhudhuria mikutano na chaguzi mbalimbali zinazoendelea za uvccm je nawezaje kujiunga mahali nilipo?
hapana sijawaza hivyojenipher manase Unataka kadi upigie hela wapi ?
ntashukuru sanaNakutumia namba ya Mwenyekiti BAVICHA akupe maelekezo.
kwani umri mwisho miaka mingapi?Punguza umri kila mwaka hakikisha miaka yake inabaki ile ile.
Kwa dar zipo wapiNenda kwenye ofisi zao zipo kila mkoa, huko watakupa maelezo yote.
Nimeona ujumbe wako, ila nimeshindwa kujibu kwa sababu nimekosa access ya kuingia kwenye inbox yangu.Kwa dar zipo wapi
okayNimeona ujumbe wako, ila nimeshindwa kujibu kwa sababu nimekosa access ya kuingia kwenye inbox yangu.
aende tu kwenye tawi lolote la CCM jirani na alipo, atapewa utaratibu na anaweza kujiunga uanachama na kua mwanachama hai wa CCM bila mbambamba yoyote jenipher manase 🐒Nenda kwenye ofisi zao zipo kila mkoa, huko watakupa maelezo yote.
18 hadi 45kwani umri mwisho miaka mingapi?
sio kwamba Sina Cha kufanya ninacho na nasoma pale SUA ila nahitaji tu kuwa mmoja wa uvccm mwanachamMkuu bora ukalime matikiti maji utakuja kunishukuru,
Ccm Wana matawi Yao kila kata nenda kaombe fomu week tatu nyuma waliokuwa wanazoezi la kuandikisha wanachama wapya na kubadilisha kadi.sio kwamba Sina Cha kufanya ninacho na nasoma pale SUA ila nahitaji tu kuwa mmoja wa uvccm mwanacham
Ni mjinga pekee anayeweza kujiunga na lichama la wauwaji wa watu Karakana ya chang'ombe.aende tu kwenye tawi lolote la CCM jirani na alipo, atapewa utaratibu na anaweza kujiunga uanachama na kua mwanachama hai wa CCM bila mbambamba yoyote jenipher manase 🐒
Mkuu kwanza jitoe ufahamu uwe kama zobi, halafu chagua kiongozi yeyote uwe chawa wake, hapo utakuwa na viegezo vyote vya kujiunga.Nahitaji kuwa mwanachama hai wa UVCCM kuhudhuria mikutano na chaguzi mbalimbali zinazoendelea za UVCCM, Je nawezaje kujiunga mahali nilipo?