Nawezaje kuwa mwanachama hai wa UVCCM?

Nawezaje kuwa mwanachama hai wa UVCCM?

Nahitaji kuwa mwanachama hai wa UVCCM kuhudhuria mikutano na chaguzi mbalimbali zinazoendelea za UVCCM, Je nawezaje kujiunga mahali nilipo?
Nenda katika tawilolote lililo karibu yako, na kama upo chuo nenda kwa viongozi wa chama chuoni kwako

Ukishindwa kabisaaaa, ukipiga misele yako ukikuta mahali imening'inizwa bendera ya CCM au shina uliza utapewa utaratibu
 
labda girlfriend wako sio Mimi watanila online au ulisikia wapi nimempa mtu namba humu jisake chalii hujui Kash Kash za SUA first year wewe course kumi na moja Kila semester,second year na third ratiba Huwa aibani kdg kulingana na vipindi na ndio mana nataka nijue in details now
 
Jiunge na CHADEMA ili upate muda mwingi wa kukaa na watu smart

Ccm utaua dreams zako mapema
 
Mkuu kwanza jitoe ufahamu uwe kama zobi, halafu chagua kiongozi yeyote uwe chawa wake, hapo utakuwa na viegezo vyote vya kujiunga.
ahahaha sio kiongozi nimesema nataka kuwa mwanachama hata nisipo julikana ila mwanachama
 
Nahitaji kuwa mwanachama hai wa UVCCM kuhudhuria mikutano na chaguzi mbalimbali zinazoendelea za UVCCM, Je nawezaje kujiunga mahali nilipo?
Muone huyu
Six5b0TZWlBbGx71.jpg
 
Nenda katika tawilolote lililo karibu yako, na kama upo chuo nenda kwa viongozi wa chama chuoni kwako

Ukishindwa kabisaaaa, ukipiga misele yako ukikuta mahali imening'inizwa bendera ya CCM au shina uliza utapewa utaratibu
asante kaka Kwa ushauri
 
Jiunge na CHADEMA ili upate muda mwingi wa kukaa na watu smart

Ccm utaua dreams zako mapema
ccm tushawajua tabia zao sabab washaonja keki ya nchi Kwa nyadhifa kubwa ya uchama tawala ila huko kwingine naogopa sabab hawajaikamata bado keki ya nchi na pia nachoogopa Zaidi wanasalitiana wao Kwa wao na wengine kuwasalitinhadi kufikia kuwa machawa wa chama tawala na kupewa nyazfa ndani ya chama tawala Bora nijiunge na hwa tabia Yao iliojulikana Bora niwe humo humo kama mwanachama tu inatosha
 
Back
Top Bottom