Nawezaje kuwa mwanachama hai wa UVCCM?

sio kwamba Sina Cha kufanya ninacho na nasoma pale SUA ila nahitaji tu kuwa mmoja wa uvccm mwanacham
Ccm Wana matawi Yao kila kata nenda kaombe fomu week tatu nyuma waliokuwa wanazoezi la kuandikisha wanachama wapya na kubadilisha kadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…