Nawezaje kuwa mwanachama hai wa UVCCM?

Wewe utakuwa mboga ya wanaume Malaya wa jf.... Mpk unasoma chuo hujui mchakato wakuwa mwanachama hai wa uvccm?. SUA mbona Kuna tawi la uvccm alooh!. Hiyo mbumbusi yako itawakaa moto..
 
Unasoma chuo kikiuu alafu hujui wapi utajiunga na chama.hiyo elimu yako ni bure.
niliona sio umri sahihi kabla now naweza jihusisha na hayo mambo coz sipo level ya chini tena inayoninyima mda but wewe upo level Gani ya elimu professor kwanza haujui ndio mana makasiriko ungejua ungejibu sabab Hilo sio jibu elewa swali.
 
Kadada kanataka akawapee walezi wa CCM nyapuu, nayee apewe teuzii.

Pambania fursaa mwayaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ubarikiwe mwaya ila inaonekana ndio zako mawazo kama hayo hayajagi hivihivi
 
Wewe utakuwa mboga ya wanaume Malaya wa jf.... Mpk unasoma chuo hujui mchakato wakuwa mwanachama hai wa uvccm?. SUA mbona Kuna tawi la uvccm alooh!. Hiyo mbumbusi yako itawakaa moto..
labda girlfriend wako sio Mimi watanila online au ulisikia wapi nimempa mtu namba humu jisake chalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…