Nawezaje kuwa mwanachama hai wa UVCCM?

Nahitaji kuwa mwanachama hai wa UVCCM kuhudhuria mikutano na chaguzi mbalimbali zinazoendelea za UVCCM, Je nawezaje kujiunga mahali nilipo?
Nenda katika tawilolote lililo karibu yako, na kama upo chuo nenda kwa viongozi wa chama chuoni kwako

Ukishindwa kabisaaaa, ukipiga misele yako ukikuta mahali imening'inizwa bendera ya CCM au shina uliza utapewa utaratibu
 
Jiunge na CHADEMA ili upate muda mwingi wa kukaa na watu smart

Ccm utaua dreams zako mapema
 
Mkuu kwanza jitoe ufahamu uwe kama zobi, halafu chagua kiongozi yeyote uwe chawa wake, hapo utakuwa na viegezo vyote vya kujiunga.
ahahaha sio kiongozi nimesema nataka kuwa mwanachama hata nisipo julikana ila mwanachama
 
Nenda katika tawilolote lililo karibu yako, na kama upo chuo nenda kwa viongozi wa chama chuoni kwako

Ukishindwa kabisaaaa, ukipiga misele yako ukikuta mahali imening'inizwa bendera ya CCM au shina uliza utapewa utaratibu
asante kaka Kwa ushauri
 
Jiunge na CHADEMA ili upate muda mwingi wa kukaa na watu smart

Ccm utaua dreams zako mapema
ccm tushawajua tabia zao sabab washaonja keki ya nchi Kwa nyadhifa kubwa ya uchama tawala ila huko kwingine naogopa sabab hawajaikamata bado keki ya nchi na pia nachoogopa Zaidi wanasalitiana wao Kwa wao na wengine kuwasalitinhadi kufikia kuwa machawa wa chama tawala na kupewa nyazfa ndani ya chama tawala Bora nijiunge na hwa tabia Yao iliojulikana Bora niwe humo humo kama mwanachama tu inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…