Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

Ukiwa kwenye hali hiyo usiruhusu mawazo mabaya/negative kutawala. Jaribu kukumbuka moments nzuri ulizowahi pitia na kukupa furaha hakika itakufanya nafsi yako kusuuzika
Kuna nyakati hata hizo moments nzuri huwa hazikumbukiki
 
Kuna nyakati hata hizo moments nzuri huwa hazikumbukiki
Ninamna utakavyo iweka akili tu, Ukiruhusu negative thought kutawala akili yako basi utapoteza uelekeo sana. Mabadiliko yanaanzia ndani muda mwingine mawazo yetu hukuza mambo nakufanya kuyaona makubwa kiasi kwamba unaweza jiona huwezi kuyakabili kumbe uhalisia sivyo.
 
Hi
Kulelewa mazingira ya kutokujichanganya ni sababu ilionisumbua mimi.

Depression ,anti social behavior au mood swinggs ni Sumu mbaya sana sanasanasana sanasana sana kwa binadamu ............. Naomba Mungu aniepushe ichi kikombe...

Ukijichanganya sana hali itapungua au kuisha kabisa.
 
hiyo hali ni mbaya sana
 
Amani nimeshaipata...nimeipata kwa ALLAH AZAAH WA JALLAH...

Amani ya KWELI, furaha ya KWELI...kujiamini...na kuamini Mungu Anatenda na anafanya njia wakati hukutarajia.

The GOD am serving is marvelous. He has given me peace in my heart despite my challenging circumstances.

Sijawai amani katika kitu Kama navyoAmini katika Mungu Wangu Muweza wa yote..

Athiest siitaji malumbano tadadhali
 
1.Kaa jiulize hio hali imeanza lini na sababu yake nini and what will

2.Samehe wengine..andika km kuna maudhi yoyote dhidi ya mtu yoyote afu sema nimewasamehe

3.Jisamehe na wewe...fanya tathmini na sema i forgive you Credit Analyst

4.fikiria vitu unavyopenda kufanya vinavyokupa raha...vifanye
 
I agree
Kuuchosha mwili ni tiba muda mwingine

mi huwa nafanya usafii weeee
Napasi weeeee
Ama najiiba najitreat spa hukoo Masaa 6!!...narudi nalala

mawazo tumeumbiwa binadamu

ni kujitahidi kuishi nayo
 
Umri umri unasoma ngapi?

Lakini Ili uweze kupata msaada zaidi ni vizuri ukafunguka.Humu kuna wenye walipitia unayoyapitia
 
Hiyo sense of ownership ndo inawatesa wengi..
Pangisha ..ukahamie mbali na stress..
Uwezo na mazingira unaweza shindwa

naona heri kubadili 'mtizamo' kuhusu tatizo lililopo
 
Umri umri unasoma ngapi?

Lakini Ili uweze kupata msaada zaidi ni vizuri ukafunguka.Humu kuna wenye walipitia unayoyapitia
Mkuu...nishasema ile ilikua Hali ya Muda TU...Mungu amenipa Amani ya KWELI ndani ya nafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…