King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Vizuri sana...Kitabu nimekisoma hichi.... Niwe mkweli kilinisogeza karibu na Mungu Wangu...Japo nichadini tofauti na Yangu...wamesisitiza Sana kusali..japo sikukimaliza
Jaribu na hichi...how to use your hidden power of your subconscious mind,kizuri Sana kipo simple na kina pages 90 tu hakichoshi.
Ushauri wangu:-
1. Tafuta eneo lililotulia,muda ambao hakuna movement za vitu/watu...usiku au alfajir itakuwa vzur zaid.
2. Weka nia moyoni unataka kufanya jambo fulani.
3. Tia udhu, (tawadha kwa ajili ya kuswali).
4. Swali rakaa mbili za sunnah.
5. Leta nyiradi zako then omba chochote ulichokinuia kwa mola wako.
6. Kuwa na matumaini ktk kile ulicho kiomba.... feel as if u have already received that things.
7. Ukishamaliza fanya meditation as much as u can....
.......................
Jijengee tabia kila ukiamka asubuhi useme maneno mfano wa haya.
1. Alhamdulillah kwa kuamka salama mwenye afya,ninafuraha,nina mafanikio makubwa,ninaujasiri wa kufanya mambo yangu,nimetimiza ndoto zangu, n.k
Our greatest power is the power to choose... either happiness or sadness.