Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hakika ila mie najiuliza mbona sinaga stress...Sio kwamba shida sina. Zipo nyingi tu na kubwa ila hazijawahi ku overcome furaha yangu.Kwl kabisa mkuu,,
Walio wengi wanakosa furaha sababu ya kujilinganisha maisha yao na wengine,,
Hata mkeo /mume ukimfananisha na mke / mume wa wengine lazima utamuona hana thamani ,,,na kukosa furaha ya ndoa.
Ukilinganisha nyumba yako na wengine,,basi kwako utapaona ni sawa na kibanda..na kukosa amani na furaha ya nyumbani
Tujifunze kujikubali,
Kuridhika na tulichonacho,,
Kwani mmiliki wa furaha yako ya maisha ni wewe mwenyewe.
Yani kuna mtu anaweza akakaa akawa anawazaa mpaka anajiongelesha mwenyewe...Hio hali mbona mie sina? Na sio kuwa huyo mtu hana maisha. Unakuta anajiweza tu anakula bila tatizo ila mtu anajiwazisha kinoma.😂😂😂
Siku ambayo nina stress ujue ni mwanamke ndo kanivuruga au any other external factor ila siwezi anzisha internal stress never.