mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Mkuu fahamu kwamba maisha ni offer ya Mara moja aliyokupa MUNGU.Nimekuwa myonge na nafsi Yangu inasononeko.
Sikosi chakula walapakulala...Ila nakosa furaha moyoni, naona uzito rohoni mwangu, nakosa furaha kabisa.
Naona mambo Yangu nashindwa yabeba.
Najitahidi kusali na kukumbuka maandiko ya Mungu, napata afueni kwa muda.
Japo najipa moyo kuwa kwenye uzito Kuna wepesi...Naamini nothing last forever not even our troubles.
Kuna muda nikitembea barabarani nikiona Watu wanacheka nahisi wananicheka Mimi...
Huu Uzi hauhusu mahusiano ya kimapenzi kabisa.
Sinywi pombe,sivuti Bangi Wala sigara.
Nifanyaje kupunguza Hali ya sononeko moyoni mwangu.
Hivyo basi itumie vizuri.
Maisha ni kama vipandio vya ngazi,,hapo ulipo wewe ,kuna wenzio wanatamani kufika,,wanatamani wawe kama wewe.
Jaribu kuangalia nyuma yako utawaona wengi walio nyuma yako,basi unapaswa ushukuru MUNGU.
Usiangalie walio mbele yako,,
utawaona waliofanikiwa zaidi yako,,na hapo ndipo utakapopata sononeko la moyoni na kukufuru MUNGU.
siri ya furaha ya maisha duniani.
- ridhika na ulichonacho.
- usijilinganishe maisha yako na maisha ya wengine.
- duniani tunapita.
Kumbuka mkuu
life is one time offer given from God,
Use it well.
Don't stress yourself.
Mark my words..