Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Ni makadirio tu mkuu...[emoji3][emoji3][emoji3]...aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni makadirio tu mkuu...[emoji3][emoji3][emoji3]...aiseee
Kuna nyakati hata hizo moments nzuri huwa hazikumbukikiUkiwa kwenye hali hiyo usiruhusu mawazo mabaya/negative kutawala. Jaribu kukumbuka moments nzuri ulizowahi pitia na kukupa furaha hakika itakufanya nafsi yako kusuuzika
YapKujichua kwa namna gani Mkuu?..yaani masterbation?
Ninamna utakavyo iweka akili tu, Ukiruhusu negative thought kutawala akili yako basi utapoteza uelekeo sana. Mabadiliko yanaanzia ndani muda mwingine mawazo yetu hukuza mambo nakufanya kuyaona makubwa kiasi kwamba unaweza jiona huwezi kuyakabili kumbe uhalisia sivyo.Kuna nyakati hata hizo moments nzuri huwa hazikumbukiki
Hapana mkuuDhambi...mkuu
Kulelewa mazingira ya kutokujichanganya ni sababu ilionisumbua mimi.Nishakuelewa ugonjwa wako.
Hata mimi nilikuwa na ugonjwa kama huo.
Huwa ugonjwa unasababishwa na loneliness/antisocial behaviour.
Inawezekana mazingira uliyolelewa ulikuwa hupati nafasi ya kujichanganya na watu ambayo hiyo hali imeendeleza upweke ambao ndio unakusumbua hadi leo.
Dawa ya huo ugonjwa ni kujichanganya na watu mbalimbali kwa mfano hata kama hunywi pombe sio mbaya mara moja moja kujichanganya na marafiki kwenda sehemu za kurelax inaweza kuwa beach au pub au kwenye mahotel.
Mimi hiyo hali huwa inaondoka nikitoka nyumbani na kujichanganya na watu pamoja na kusafiri sehemu mbalimbali.
Chukua hatua
Hi
Kulelewa mazingira ya kutokujichanganya ni sababu ilionisumbua mimi.
Depression ,anti social behavior au mood swinggs ni Sumu mbaya sana sanasanasana sanasana sana kwa binadamu ............. Naomba Mungu aniepushe ichi kikombe...
Ukijichanganya sana hali itapungua au kuisha kabisa.
I agreeHii hali hunitokea once kila baada ya mwaka au miaka kadhaa na hamna kitu naweza kifanya kikaondoa stress zangu maana si TV, si kazini, si marafiki, si chochote kile na mara nyingi hujigundua nipo katika hiyo state usiku wakati wa kulala.
Nikifika kitandani usingizi hauji, nitajigeuza huku na kule ila wapi, kulala staki, kukaa staki, kusimama staki, naanza kutembea naenda sebleni, chumbani, narudi jikoni naenda chooni nazunguka nyumba nzima, hali naonaga inazidi tu kuwa mbaya.
Ninachofanya huwa nafungua kabati natafuta nguo navaaa (kumbuka huo ni usiku inaweza kuwa saa 8 hata) nachukua viatu navaa, natoka nje sichukui usafiri wowote wala sibebi simu.
Naanza kutembea kufata barabara ya LAMI au barabara yoyote ile iliyonyooka natembea natembea natembea (sijui niendapo) natembea naenda safari yangu itaishia pale miguu itakaposema imetosha yani imechoka, basi hapo hapo nikishachoka kuendelea naanza kurudi nyumbani kwa kutembea.
Natembea narudi nyumbani taratibu mpaka nafika home nimechoka sana, nikiingia tu sebleni najilaza hapo hapo chini najinyoosha nalala usingizi unanichukua, nikija kuamka nikioga basi najikuta ile hali imepotea au kupungua.
Kwa hiyo njia pekee niliyoithibitsha inayoweza ondoa hii hali ni kuuchosha mwili, najua huwezi fanya mazoezi kwa hali uliyonayo ila amka tembea tu, we tembea nenda huko fata barabara kama mtu aliepotea njia, mpaka miguu ichoke nakuhakikishia ukirudi nyumbani kichwa itakua mpya na utaweza kuendelea na maisha tena.
Ss unahamaje kwako au kwenu kireja reja?Find new friends
Hama pia unapoishi
Umri umri unasoma ngapi?Nimekuwa myonge na nafsi Yangu inasononeko.
Sikosi chakula wala pakulala...Ila nakosa furaha moyoni, naona uzito rohoni mwangu, nakosa furaha kabisa.
Naona mambo yangu nashindwa yabeba.
Najitahidi kusali na kukumbuka maandiko ya Mungu, napata afueni kwa muda.
Japo najipa moyo kuwa kwenye uzito Kuna wepesi...Naamini nothing last forever not even our troubles.
Kuna muda nikitembea barabarani nikiona watu wanacheka nahisi wananicheka Mimi.
Huu Uzi hauhusu mahusiano ya kimapenzi kabisa.
Sinywi pombe, sivuti Bangi wala sigara.
Nifanyaje kupunguza Hali ya sononeko moyoni mwangu.
Ss unahamaje kwako au kwenu kireja reja?
Uwezo na mazingira unaweza shindwaHiyo sense of ownership ndo inawatesa wengi..
Pangisha ..ukahamie mbali na stress..