Niliangalia Sana movie za Kikorea..Sana Sana Sana....Ila sasahivi nimeloose interest.Tafuta movie/ drama za kikorea ambazo hazijatafisiliwa,hutojuta ushauri huu.
Mm nikitoka kazini fasta home, napita sokoni , napitia maziwa. Nikifika ni movie na kula, kunywa, kuchungulia jf.hayo ndo maisha yangu.
Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress.kuna kipindi nilikuwa kama wewe sasa hivi nimezoea.
Wengine watakushauri utoke out. Ila najua sio rahisi utoke out kufanya nini?
Wengine watakwambia utoke na marafiki. Marafiki wapi? Wakati mmetoka kazini mkaenda home utoke kwa lipi? Mkifika huko mfanye nini wakati umeshiba?
Poole dia hiyo hali naijua huwa haielezeki.
Amani ya kweli ipo katika kujenga mahusiano yako na Mungu. Hakuna mbadalaNimekuwa myonge na nafsi Yangu inasononeko.
Sikosi chakula walapakulala...Ila nakosa furaha moyoni, naona uzito rohoni mwangu, nakosa furaha kabisa.
Naona mambo Yangu nashindwa yabeba.
Najitahidi kusali na kukumbuka maandiko ya Mungu, napata afueni kwa muda.
Japo najipa moyo kuwa kwenye uzito Kuna wepesi...Naamini nothing last forever not even our troubles.
Kuna muda nikitembea barabarani nikiona Watu wanacheka nahisi wananicheka Mimi...
Huu Uzi hauhusu mahusiano ya kimapenzi kabisa.
Sinywi pombe,sivuti Bangi Wala sigara.
Nifanyaje kupunguza Hali ya sononeko moyoni mwangu.
Sasa huyo yesu atampaje furaha mkuu!?Mpokee Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako utapata furaha ya Milele
OkNishakuelewa ugonjwa wako.
Hata mimi nilikuwa na ugonjwa kama huo.
Huwa ugonjwa unasababishwa na loneliness/antisocial behaviour.
Inawezekana mazingira uliyolelewa ulikuwa hupati nafasi ya kujichanganya na watu ambayo hiyo hali imeendeleza upweke ambao ndio unakusumbua hadi leo.
Dawa ya huo ugonjwa ni kujichanganya na watu mbalimbali kwa mfano hata kama hunywi pombe sio mbaya mara moja moja kujichanganya na marafiki kwenda sehemu za kurelax inaweza kuwa beach au pub au kwenye mahotel.
Mimi hiyo hali huwa inaondoka nikitoka nyumbani na kujichanganya na watu pamoja na kusafiri sehemu mbalimbali.
Chukua hatua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Mkuuu imenichekesha Sana.Mkuu
Pole Pole Sana Kwa Hali Unayoipitia Lakini Njia Nzuri Zipo Kupitia Thread Yako!! Sasa Umetufumba Kiasi Kwanini Unahisi Hali Hiyo Inatokea
Samahani Lakini, Nilikuwa Naulizia Vp Maendeleo Ya Afya Mwili Umeupunguza. Lile Suala La Matumizi Ya Shanga
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1][emoji1][emoji52][emoji52][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji1][emoji52][emoji52]
Nimengoja Mrejesho Kwa Muda Nimeona Nikuulize Humo Humo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Furaha Yangu nikiiunganisha na kitu au mtu...siku.kikikosekana Nini kitatokeaPole sana hii inawaathiri wanawake wengi ambao hawakojozwi kitandani,ila ukimpata dume akawa anakukojoza kila mara firaha yako itarud
Asante sanaPole mkuuu.....
Hapana...Mimi sijafunguwa utotoni nimecheza Sana Sana Sana Sana... natatizo langu Sio upweke...Ni MATATIZO tu ya Dunia yananikosesha Raha.Nishakuelewa ugonjwa wako.
Hata mimi nilikuwa na ugonjwa kama huo.
Huwa ugonjwa unasababishwa na loneliness/antisocial behaviour.
Inawezekana mazingira uliyolelewa ulikuwa hupati nafasi ya kujichanganya na watu ambayo hiyo hali imeendeleza upweke ambao ndio unakusumbua hadi leo.
Dawa ya huo ugonjwa ni kujichanganya na watu mbalimbali kwa mfano hata kama hunywi pombe sio mbaya mara moja moja kujichanganya na marafiki kwenda sehemu za kurelax inaweza kuwa beach au pub au kwenye mahotel.
Mimi hiyo hali huwa inaondoka nikitoka nyumbani na kujichanganya na watu pamoja na kusafiri sehemu mbalimbali.
Chukua hatua
Ni mambo ya kiimani haya mkuu ndiyo sababu ya kwenda misikitini na makanisani, kama sio imani kulikua hakuna sababu ya kujazana ukoSasa huyo yesu atampaje furaha mkuu!?
Hapana...Mimi sijafunguwa utotoni nimecheza Sana Sana Sana Sana... natatizo langu Sio upweke...Ni MATATIZO tunya Dunia yananikosesha Raha.