Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
- Thread starter
- #21
Niliangalia Sana movie za Kikorea..Sana Sana Sana....Ila sasahivi nimeloose interest.Tafuta movie/ drama za kikorea ambazo hazijatafisiliwa,hutojuta ushauri huu.
Mm nikitoka kazini fasta home, napita sokoni , napitia maziwa. Nikifika ni movie na kula, kunywa, kuchungulia jf.hayo ndo maisha yangu.
Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress.kuna kipindi nilikuwa kama wewe sasa hivi nimezoea.
Wengine watakushauri utoke out. Ila najua sio rahisi utoke out kufanya nini?
Wengine watakwambia utoke na marafiki. Marafiki wapi? Wakati mmetoka kazini mkaenda home utoke kwa lipi? Mkifika huko mfanye nini wakati umeshiba?
Poole dia hiyo hali naijua huwa haielezeki.
Asante Sana mydear