Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

Tafuta movie/ drama za kikorea ambazo hazijatafisiliwa,hutojuta ushauri huu.

Mm nikitoka kazini fasta home, napita sokoni , napitia maziwa. Nikifika ni movie na kula, kunywa, kuchungulia jf.hayo ndo maisha yangu.

Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress.kuna kipindi nilikuwa kama wewe sasa hivi nimezoea.

Wengine watakushauri utoke out. Ila najua sio rahisi utoke out kufanya nini?

Wengine watakwambia utoke na marafiki. Marafiki wapi? Wakati mmetoka kazini mkaenda home utoke kwa lipi? Mkifika huko mfanye nini wakati umeshiba?

Poole dia hiyo hali naijua huwa haielezeki.
Niliangalia Sana movie za Kikorea..Sana Sana Sana....Ila sasahivi nimeloose interest.
Asante Sana mydear
 
Nimekuwa myonge na nafsi Yangu inasononeko.

Sikosi chakula walapakulala...Ila nakosa furaha moyoni, naona uzito rohoni mwangu, nakosa furaha kabisa.

Naona mambo Yangu nashindwa yabeba.
Najitahidi kusali na kukumbuka maandiko ya Mungu, napata afueni kwa muda.

Japo najipa moyo kuwa kwenye uzito Kuna wepesi...Naamini nothing last forever not even our troubles.

Kuna muda nikitembea barabarani nikiona Watu wanacheka nahisi wananicheka Mimi...

Huu Uzi hauhusu mahusiano ya kimapenzi kabisa.

Sinywi pombe,sivuti Bangi Wala sigara.

Nifanyaje kupunguza Hali ya sononeko moyoni mwangu.
Amani ya kweli ipo katika kujenga mahusiano yako na Mungu. Hakuna mbadala
 
Kosea sehemu kosea kitu akili ishtuke ...au hiyo!! RAM huko kichwani imestuck yani unajua haya maisha ukijikuta unaishi maisha yale ya quote of the Day inspiration clip za hamasa sometimes unaweza kujikuta unaghafilikiwa ghafla japo sio kila mara ni sometimes hakuna mziki hakuna maisha tuishi humo.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana hii inawaathiri wanawake wengi ambao hawakojozwi kitandani ila ukimpata dume akawa anakukojoza kila mara furaha yako itarudi.
 
Nishakuelewa ugonjwa wako.
Hata mimi nilikuwa na ugonjwa kama huo.
Huwa ugonjwa unasababishwa na loneliness/antisocial behaviour.
Inawezekana mazingira uliyolelewa ulikuwa hupati nafasi ya kujichanganya na watu ambayo hiyo hali imeendeleza upweke ambao ndio unakusumbua hadi leo.
Dawa ya huo ugonjwa ni kujichanganya na watu mbalimbali kwa mfano hata kama hunywi pombe sio mbaya mara moja moja kujichanganya na marafiki kwenda sehemu za kurelax inaweza kuwa beach au pub au kwenye mahotel.
Mimi hiyo hali huwa inaondoka nikitoka nyumbani na kujichanganya na watu pamoja na kusafiri sehemu mbalimbali.
Chukua hatua
Ok
 
Mkuu
Pole Pole Sana Kwa Hali Unayoipitia Lakini Njia Nzuri Zipo Kupitia Thread Yako!! Sasa Umetufumba Kiasi Kwanini Unahisi Hali Hiyo Inatokea

Samahani Lakini, Nilikuwa Naulizia Vp Maendeleo Ya Afya Mwili Umeupunguza. Lile Suala La Matumizi Ya Shanga
😀😁😂😄😄😐😐😀😁😂😂🤣😅😄😐😐
Nimengoja Mrejesho Kwa Muda Nimeona Nikuulize Humo Humo!!
 
My dear pole sana, I was passing through that hell ov a situation, ila Namshukuru Mungu that nothing last forever, kila kitu kitakuwa sawa, Usijali jipe moyo mkuu...!

Pitia hapo chini naamini utajifunza jambo..!

CreditAnalyst
 
Mkuu
Pole Pole Sana Kwa Hali Unayoipitia Lakini Njia Nzuri Zipo Kupitia Thread Yako!! Sasa Umetufumba Kiasi Kwanini Unahisi Hali Hiyo Inatokea

Samahani Lakini, Nilikuwa Naulizia Vp Maendeleo Ya Afya Mwili Umeupunguza. Lile Suala La Matumizi Ya Shanga
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1][emoji1][emoji52][emoji52][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji1][emoji52][emoji52]
Nimengoja Mrejesho Kwa Muda Nimeona Nikuulize Humo Humo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Mkuuu imenichekesha Sana.
 
Pole sana hii inawaathiri wanawake wengi ambao hawakojozwi kitandani,ila ukimpata dume akawa anakukojoza kila mara firaha yako itarud
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Furaha Yangu nikiiunganisha na kitu au mtu...siku.kikikosekana Nini kitatokea
 
Nishakuelewa ugonjwa wako.
Hata mimi nilikuwa na ugonjwa kama huo.
Huwa ugonjwa unasababishwa na loneliness/antisocial behaviour.
Inawezekana mazingira uliyolelewa ulikuwa hupati nafasi ya kujichanganya na watu ambayo hiyo hali imeendeleza upweke ambao ndio unakusumbua hadi leo.
Dawa ya huo ugonjwa ni kujichanganya na watu mbalimbali kwa mfano hata kama hunywi pombe sio mbaya mara moja moja kujichanganya na marafiki kwenda sehemu za kurelax inaweza kuwa beach au pub au kwenye mahotel.
Mimi hiyo hali huwa inaondoka nikitoka nyumbani na kujichanganya na watu pamoja na kusafiri sehemu mbalimbali.
Chukua hatua
Hapana...Mimi sijafunguwa utotoni nimecheza Sana Sana Sana Sana... natatizo langu Sio upweke...Ni MATATIZO tu ya Dunia yananikosesha Raha.
 
Mwanangu tambua DUNIA ya leo ndivyo ILIVYO

Achana na kuwaza kufarijiwa

Mapenz ??
HUU NI ukoma KAMATA DEMU CHUKUA MUWEKEE MWAAAA

CHA MSINGI TAFUTA PESA USIPALE KOMAA HASWAAA

JICHANGANYE KJN

PIGA MISHE YEYOTE

MIE BINAFSI WANAWAKE SIJI KUWAAMINI TENA

ZAMA NA MABAHARIA SEHEMU YEYOTE KUWA HATA FUND ANZA NA SAIDIA USIJIFUNGE

WANAWAKE HAWANA UTAMU UTAMU TUNAO SISI KULE TWAFWATA UTELEZI TUU

UKIPATA 50 KAMATA MZUR,UKIPATA BUKU TANO PIGA SHOW TIME,UKIPATA JERO NUNUA HISPO PIGA NYETO

CHA MSINGI SAKA PESA
 
Basi nishakuelewa kiundani tatizo lako njoo inbox nitakusaidia kitu.
Yote hayo nimepitia na mimi.
I am serious!
Hapana...Mimi sijafunguwa utotoni nimecheza Sana Sana Sana Sana... natatizo langu Sio upweke...Ni MATATIZO tunya Dunia yananikosesha Raha.
 
Back
Top Bottom