ormystatus
Senior Member
- Nov 3, 2019
- 111
- 223
Asante sana ,ngoja nipambanie aseeJaribu kutafuta hiki
Head first Java,
Kingine Beginning programming in Java for Dummies
Vitakusaidia sana kwenye kuanza lakini pia jitahidi sana kuwa unasoma Soma online maana unaweza kuta baadhi ya updates zimetokea na kwenye kitabu hazijawekwa so usikomae na kitabu pekeake
Pia wakati wa mazoezi yako ukikwama Nashauri utumie Stack overflow dhidi ya chatGPT
Mkuu anza na merkup language kama html, css kisha jifunze JavaScript hii itasaidia sana kuanza kupata concept za object oriented programming na mpaka hapo umeshaakuwa na ufahamu mpana wa font web developmentBhas naomba mnirecommend vitabu vizur vya kusoma kuhusu programming, nahitaji kuanza kusoma software development (app and web devlp) ,Nahitaji kuanza na Java
C++ Ni nzuri iko powerful lakini nikuulize kwanza unataka kuitumia katika development ya nini?Vp kuhusu C++ mkuu?
Ahaaaa hapa sasa nimekupata mno, natanguliza shukran kaka.Mkuu anza na merkup language kama html, css kisha jifunze JavaScript hii itasaidia sana kuanza kupata concept za object oriented programming na mpaka hapo umeshaakuwa na ufahamu mpana wa font web development
Hamia kwenye backend kwa kusoma php na MySQL kisha anza kupitia frameworks mbalimbali ili kupata uelewa mpana zaidi
Baada ya hapo jifunze physon(recommended) sio muhimu ila kama utasoma java naona haina soko saana os nyingi zinaisusa
Kwa mob development hakikisha kotlin unaimaster vzr ili uweze kudevelop android apps latest technology
Swift n.k
Mpaka hapo umepata ufunguo
Be ready tobecome crazy!! I mean crazy who never sleep. If you don't want to be crazy never dream of becoming programmer b'se programming is a crazy game.Naomba mnisaidie nawezaje kuja kuwa programmer na fuate misingi ipi ili nije kufiklia lengo langu
Bhas naomba mnirecommend vitabu vizur vya kusoma kuhusu programming, nahitaji kuanza kusoma software development (app and web devlp) ,Nahitaji kuanza na Java
I have suggested these books not as a qualified programner but as self pace learner.View attachment 2552744qView attachment 2552759View attachment 2552744View attachment 2552760View attachment 2552761
Nabismini sana.
Noliharibu head girst hava. Basdae nikaona ni takataka.
Daniel Liang is a monster teacher for beginer.
Muhind Nuer ni mzuri ila kipo shallow. Mfano kwenye Java collections ameweka Vector ba Arraylist tu wskati wenxis wamehaza mautundu kama yote.
Schildt ni mzuri kwenye Object oriented.
Ameekeza vizuri sana concrpt za
Class
Method
Objects
Constructor.
Tatizo lake he has created a bible of JAVA, yani kuna kila kitu(core java).
Kama hsupendi many unnecessaty items kitakuboa haraka.
Dean, How to programm amejikita kwenye r
Entreprise appriach. Ni kizuri kwa wale wanaotaka kuingia kwenye Fintech mambo ya uhasibu sana. Kwa scientist kitamboa tu.
Nakuongezea Jav 101 hasa kama una concept za basic mathmatics.
Mfano how to find vector distance of two points, Orthogonal vector nk. Kakitabu kadogo ila kameeleza vizuri jinsi ya ku write the maths simple programm
View attachment 2552761View attachment 2552776
Ukisikia kupigwa spana ndio huku sasaπππchatGPT inazidi kuongeza kundi la wajinga
View attachment 2547752
Huu utoto pelekea wenzio wa facebook. HTML sio programming language
Kwa hivyo DTI, UDSM ou UDOM iyo IT wanayo fundisha miaka 3 au 4 wanakosea, Youtube video za saa 6 au 8 za kujua basic za programming nikupoteza mda??
Huu utoto eti 17hrs of coding, wewe ni roboti?? Ukifanya Programming zadi ya saa 4 unapoteza ufanisi unaishia ku google kila kitu
Internationally my foot, Java au C++ ya marekani na tazania zinatofati gani??
Hata computer hujui, math sio muhumu kujua basic kwenye programming. Kipindi computer inaanza kufundiswa mashuleni na vyuoni walikosa departiment ya kuiweka ikabidi waiweke departiment ya math kwa kuanzia hapo watu wengi pamoja na wewe mnadhani computer ni math vina uhusiano mkubwa hiyo
Acha kupotosha watu, peleka huu ujinga FB. Unaitaji 3 - 4 hrs kwa siku kujifunza programming
Jibu gani, hata wewe mwenyewe hujui
I'm a software engineer. I specialize in developing applications and websites for a variety of industries. I'm experienced in a wide range of programming languages, including Java, JavaScript, HTML, CSS, and SQL. I'm also familiar with a variety of frameworks, such as React, Angular, and Node.js. I'm passionate about creating high-quality, user-friendly software solutions that can help businesses succeed.
I didnt see this coming .print{hahahaahhaha}chatGPT inazidi kuongeza kundi la wajinga
View attachment 2547752
Huu utoto pelekea wenzio wa facebook. HTML sio programming language
Kwa hivyo DTI, UDSM ou UDOM iyo IT wanayo fundisha miaka 3 au 4 wanakosea, Youtube video za saa 6 au 8 za kujua basic za programming nikupoteza mda??
Huu utoto eti 17hrs of coding, wewe ni roboti?? Ukifanya Programming zadi ya saa 4 unapoteza ufanisi unaishia ku google kila kitu
Internationally my foot, Java au C++ ya marekani na tazania zinatofati gani??
Hata computer hujui, math sio muhumu kujua basic kwenye programming. Kipindi computer inaanza kufundiswa mashuleni na vyuoni walikosa departiment ya kuiweka ikabidi waiweke departiment ya math kwa kuanzia hapo watu wengi pamoja na wewe mnadhani computer ni math vina uhusiano mkubwa hiyo
Acha kupotosha watu, peleka huu ujinga FB. Unaitaji 3 - 4 hrs kwa siku kujifunza programming
Jibu gani, hata wewe mwenyewe hujui
Jamaa acha kuwatisha watu10 years kwa vichwa vizuri
15 years kwa vichwa vya kawaida
20 years kwa vichwa panzi
Huu muda unakufanya uwe guru wa programming
Edit: Hapa ni 17 hours of coding
Kwann nimeweka muda huo hii ni kwa wale wanaotaka kuwa internationally known programmers maana dunia ndo inakoelekea huko mambo ya AI, machine learning,deep learning
Ndo future ya hii industry mkuuu
Na hapo ukitaka kuwa mzuri zaidi jifundishe probability,statistics,calculus pamoja na discrete mathematics.
Maana hii ndo mama wa haya mavitu
Achana na watu wanaokwambia mathematics haihitajiki hawakutakii mema hao
Kwa program zote zenye mvuto ni mathematics za kutosha zimechanganywa hapo
Swali; unaweza kupata 17 hours kwa siku kusoma programming kama we ni mfanyakazi, au una biashara
Jibu unalo mwenyewe π₯π₯π₯
Nenaissue tu ni kupata mentor sahihi atayekupa njia nzuri ya kufikia lengo, pia na akili ya kujiongeza sasa