Nawezaje kuwa programmer?

Nawezaje kuwa programmer?

Jaribu kutafuta hiki
Head first Java,
Kingine Beginning programming in Java for Dummies

Vitakusaidia sana kwenye kuanza lakini pia jitahidi sana kuwa unasoma Soma online maana unaweza kuta baadhi ya updates zimetokea na kwenye kitabu hazijawekwa so usikomae na kitabu pekeake
Pia wakati wa mazoezi yako ukikwama Nashauri utumie Stack overflow dhidi ya chatGPT
Asante sana ,ngoja nipambanie asee
 
Bhas naomba mnirecommend vitabu vizur vya kusoma kuhusu programming, nahitaji kuanza kusoma software development (app and web devlp) ,Nahitaji kuanza na Java
Mkuu anza na merkup language kama html, css kisha jifunze JavaScript hii itasaidia sana kuanza kupata concept za object oriented programming na mpaka hapo umeshaakuwa na ufahamu mpana wa font web development

Hamia kwenye backend kwa kusoma php na MySQL kisha anza kupitia frameworks mbalimbali ili kupata uelewa mpana zaidi

Baada ya hapo jifunze physon(recommended) sio muhimu ila kama utasoma java naona haina soko saana os nyingi zinaisusa

Kwa mob development hakikisha kotlin unaimaster vzr ili uweze kudevelop android apps latest technology

Swift n.k

Mpaka hapo umepata ufunguo
 
Ahaaaa hapa sasa nimekupata mno, natanguliza shukran kaka.
 
Aiseee programming inahitaji nidhamu ya hali ya juu sana na consistency.
Anza na basic languages hizi c c++ vbnet sijui nenda OOP huko Java na wenziwee nenda PHP java scripts duuuh inshort tafuta muongozo wa chuo chochote kinachofundisha IT ishi nacho.

Mie ngoja nikomae na Database, Network and pentesting tuu
 
Nilitamani nikwambie kua unitafute private ili nikuelezee namna ya kuanza safari yako ya programming/coding/developing, ila kwa manufaa ya wengine pia ambao wanatamani kua programmers nimeona niweke hapa.
kwanza, unatakiwa uwe na nia ya dhati kujifunza programming, angalau kwa siku unaweza kutumia masaa 10, kujifunza na kupractice coding! kaa ukijua programming ni about practice sanasana vinginevyo utapoteza muda tu na utaiona inakuchelewesha maana inachukua muda sana na dedication mpaka kuja kuina matokeo yake, kwa wastani ya practice ya masaa 10 kwa siku ukiwa na good mentor mwaka mmoja unatosha kwako wewe kuanza career kama junior programmer, [ nasisitiza usiwe na tamaa ikulipe mapema utaichukia mapema sana]

pili, kua na vifaa vya kujifunzia mfano PC na ni vizuri kua na reliable internet, imagine niko kwenye course ya software engineering lakini kuna watu hawana PC so you can imagine jinsi ambavyo wanapata tabu!

tatu, hakuna lugha bora kuanzia au kumalizia, tafuta kitu kimoja kulingana na mahitaji yako, mfano kama unataka kuingia field ya machine learning unaweza kuanza na PYTHON, hiyo ndo best ila kama ni webdevelopment huko inakua tofauti kidogo,

NNe, utakachoanza nacho komaa nacho hichohicho, usiwe distracted na over information usipaparike kugusa hiki mara kile, yaani leo umeanza PYTHON next week umekimbilia JAVASCRIPT hujakaa vizuri upo HTML sijui mara C++, hautafika kabisa ukishika kimoja komaa nacho mpaka uwe expert kifupi una specialize kwenye kitu kimoja maana huwezi kujua kila kitu hata wale ma-GURU hawajui kila kitu ni wameshika kimoja ndo wakawa best nacho.

Tano; ukiwa unaingia katika programming nashauri iishi programming yaan ifanye iwe sehemu ya maisha yako, mcheza mpira, mpira ni sehemu ya maisha yake, mlevi ni pombe, programmer ni practice(coding) kufanya projects nyingi nyingi haijalishi unafeli mara ngapi maana huko ni sehemu maalumu ya kujifunza kwa kukosea, na programmers wengi si wachoyo wa maarifa kabisa ukitoa hawa ma-whacky wanaokutisha, ila huko nje utakutana na watu ambao wana inspire amateurs kama sisi wapo tayari kukusaidia at anytime as long as you are willing to learn!, tumia sanasana Twitter kuwafollow programmers, huko utapata mpaka hizi bootcamps ambazo ni very helpful in your programming journey na nyingi ni totally free, ushindwe wewe tu.

mengine wataongezea na wengine.
MWISHO na muhimu zaidi tembelea tovuti hii ALX Africa - Power Your Future in Tech hua wanatoa course ya SOFTWARE ENGINEERING ni full sponsored course, hii itakua msingi mzuri kwako kwa asilimia 100, hua inatolewa katika duration ya mwaka mmoja na requirements zake ni dedication of 70 hours per week [hyo ni minimum ila binafsi naona 70 yanazidi] watanzania tuko wachache huko kwenye course za tech ila wakenya na wanigeria wamejaa sana, so personally napenda watanzania tuwe wengi huko.

NIMECHOKA KUTYPE.
 
Kama una hela jiunge Edx. Hakina online teaching website kama Edx. I repeat Edx.
 
Bhas naomba mnirecommend vitabu vizur vya kusoma kuhusu programming, nahitaji kuanza kusoma software development (app and web devlp) ,Nahitaji kuanza na Java
16788948025724069840378309419332.jpg
q
16788949102281034850335498764573.jpg
16788948025724069840378309419332.jpg
16788950039021861984515038218310.jpg
16788950523592245411873759250069.jpg

Nabismini sana.
Noliharibu head girst hava. Basdae nikaona ni takataka.
Daniel Liang is a monster teacher for beginer.
Muhind Nuer ni mzuri ila kipo shallow. Mfano kwenye Java collections ameweka Vector ba Arraylist tu wskati wenxis wamehaza mautundu kama yote.
Schildt ni mzuri kwenye Object oriented.
Ameekeza vizuri sana concrpt za
Class
Method
Objects
Constructor.
Tatizo lake he has created a bible of JAVA, yani kuna kila kitu(core java).
Kama hsupendi many unnecessaty items kitakuboa haraka.
Dean, How to programm amejikita kwenye r
Entreprise appriach. Ni kizuri kwa wale wanaotaka kuingia kwenye Fintech mambo ya uhasibu sana. Kwa scientist kitamboa tu.

Nakuongezea Jav 101 hasa kama una concept za basic mathmatics.
Mfano how to find vector distance of two points, Orthogonal vector nk. Kakitabu kadogo ila kameeleza vizuri jinsi ya ku write the maths simple programm
16788950523592245411873759250069.jpg
16788968770753634600325184249292.jpg
 
View attachment 2552744qView attachment 2552759View attachment 2552744View attachment 2552760View attachment 2552761
Nabismini sana.
Noliharibu head girst hava. Basdae nikaona ni takataka.
Daniel Liang is a monster teacher for beginer.
Muhind Nuer ni mzuri ila kipo shallow. Mfano kwenye Java collections ameweka Vector ba Arraylist tu wskati wenxis wamehaza mautundu kama yote.
Schildt ni mzuri kwenye Object oriented.
Ameekeza vizuri sana concrpt za
Class
Method
Objects
Constructor.
Tatizo lake he has created a bible of JAVA, yani kuna kila kitu(core java).
Kama hsupendi many unnecessaty items kitakuboa haraka.
Dean, How to programm amejikita kwenye r
Entreprise appriach. Ni kizuri kwa wale wanaotaka kuingia kwenye Fintech mambo ya uhasibu sana. Kwa scientist kitamboa tu.

Nakuongezea Jav 101 hasa kama una concept za basic mathmatics.
Mfano how to find vector distance of two points, Orthogonal vector nk. Kakitabu kadogo ila kameeleza vizuri jinsi ya ku write the maths simple programm
View attachment 2552761View attachment 2552776
I have suggested these books not as a qualified programner but as self pace learner.
Before i got the titles i struggled aloat, nakumbuka niliwahi muuliza humu jamaa momja anielekeze kuhusu Class, constructor methods, object creation and hiw yo pass parameters akakataa, nilipo pata hivyo vitabu sikuhitaji mtu anisaidie bali unaweza ingia you tube kidogo na website kama khan, geek4geeks nk.
Ukitulia na huo mzigo hakuna atakae kunyannyasa kwa jambo lolote ktk core java.
 
Narudi Tena Asee
Naomba kuuliza ni specification zipi za chini kabisa za PC ambazo zitasupport kufanya programming hasahasa kwenye kubuild App na Website
 
chatGPT inazidi kuongeza kundi la wajinga
View attachment 2547752
Huu utoto pelekea wenzio wa facebook. HTML sio programming language

Kwa hivyo DTI, UDSM ou UDOM iyo IT wanayo fundisha miaka 3 au 4 wanakosea, Youtube video za saa 6 au 8 za kujua basic za programming nikupoteza mda??

Huu utoto eti 17hrs of coding, wewe ni roboti?? Ukifanya Programming zadi ya saa 4 unapoteza ufanisi unaishia ku google kila kitu

Internationally my foot, Java au C++ ya marekani na tazania zinatofati gani??

Hata computer hujui, math sio muhumu kujua basic kwenye programming. Kipindi computer inaanza kufundiswa mashuleni na vyuoni walikosa departiment ya kuiweka ikabidi waiweke departiment ya math kwa kuanzia hapo watu wengi pamoja na wewe mnadhani computer ni math vina uhusiano mkubwa hiyo

Acha kupotosha watu, peleka huu ujinga FB. Unaitaji 3 - 4 hrs kwa siku kujifunza programming

Jibu gani, hata wewe mwenyewe hujui
Ukisikia kupigwa spana ndio huku sasa😀😀😀
 
wengi wanakupee maelezo mengi.
Short na effectively ni hivi
1.anza na www.w3schools.com au tutorialpoint.com
2.Tafuta project ndogo ndogo fanya practices

Note. Usisome language mbili kwa wakati mmoja
 
Mkuu HTML na CSS sio traditionally Programing language 😀😀😀
I'm a software engineer. I specialize in developing applications and websites for a variety of industries. I'm experienced in a wide range of programming languages, including Java, JavaScript, HTML, CSS, and SQL. I'm also familiar with a variety of frameworks, such as React, Angular, and Node.js. I'm passionate about creating high-quality, user-friendly software solutions that can help businesses succeed.
 
chatGPT inazidi kuongeza kundi la wajinga
View attachment 2547752
Huu utoto pelekea wenzio wa facebook. HTML sio programming language

Kwa hivyo DTI, UDSM ou UDOM iyo IT wanayo fundisha miaka 3 au 4 wanakosea, Youtube video za saa 6 au 8 za kujua basic za programming nikupoteza mda??

Huu utoto eti 17hrs of coding, wewe ni roboti?? Ukifanya Programming zadi ya saa 4 unapoteza ufanisi unaishia ku google kila kitu

Internationally my foot, Java au C++ ya marekani na tazania zinatofati gani??

Hata computer hujui, math sio muhumu kujua basic kwenye programming. Kipindi computer inaanza kufundiswa mashuleni na vyuoni walikosa departiment ya kuiweka ikabidi waiweke departiment ya math kwa kuanzia hapo watu wengi pamoja na wewe mnadhani computer ni math vina uhusiano mkubwa hiyo

Acha kupotosha watu, peleka huu ujinga FB. Unaitaji 3 - 4 hrs kwa siku kujifunza programming

Jibu gani, hata wewe mwenyewe hujui
I didnt see this coming .print{hahahaahhaha}
 
Wewe
10 years kwa vichwa vizuri
15 years kwa vichwa vya kawaida
20 years kwa vichwa panzi

Huu muda unakufanya uwe guru wa programming

Edit: Hapa ni 17 hours of coding

Kwann nimeweka muda huo hii ni kwa wale wanaotaka kuwa internationally known programmers maana dunia ndo inakoelekea huko mambo ya AI, machine learning,deep learning

Ndo future ya hii industry mkuuu

Na hapo ukitaka kuwa mzuri zaidi jifundishe probability,statistics,calculus pamoja na discrete mathematics.

Maana hii ndo mama wa haya mavitu

Achana na watu wanaokwambia mathematics haihitajiki hawakutakii mema hao
Kwa program zote zenye mvuto ni mathematics za kutosha zimechanganywa hapo

Swali; unaweza kupata 17 hours kwa siku kusoma programming kama we ni mfanyakazi, au una biashara

Jibu unalo mwenyewe 🔥🔥🔥
Jamaa acha kuwatisha watu

Mimi niseme kwenye huo muda tayar unakuwa umesha anza kunufaika
 
Back
Top Bottom