Mkuu ngoja nikupe udambwi dambwi, maana nipo jikoni. Kwanza unatakiwa uwe mwanachama wa max malipo, yaani uwe na mashine ya max malipo, pia uwe na mtaji usiopungua milioni tano, mzunguko wako kwa siku, yaani eneo lako lisipungue milion moja, baada ya hapo jina lako litapelekwa BOT kupata APROVED, ngoja kesho nikipata nafasi, nitakuletea na commision zake kwa kila transaction unayoifanya, kwakweli inalipa sana ukipata eneo, maana comision zake ni za ukweli.
Ulisema kesho na leo ni siku ya saba,au kesho ipi?
jaman za mda najihusisha na kusimamia mawakala wa bank mnaweza ncheki inbox niwape vigezo na masharti cha umhimu leseni yako iwe na miaka miwili au zaidiNami nasubiri hy kesho
commision zipo kama zile za makampuni ya simu kikubwa ni kwamba banki kuu inaweka nguvu kubwa kwe uwakala wa banki ili kuifikisha banki kwa wananchi..mnaweza nipim ili niweze wapa maelekezo stahikiMkuu ngoja nikupe udambwi dambwi, maana nipo jikoni. Kwanza unatakiwa uwe mwanachama wa max malipo, yaani uwe na mashine ya max malipo, pia uwe na mtaji usiopungua milioni tano, mzunguko wako kwa siku, yaani eneo lako lisipungue milion moja, baada ya hapo jina lako litapelekwa BOT kupata APROVED, ngoja kesho nikipata nafasi, nitakuletea na commision zake kwa kila transaction unayoifanya, kwakweli inalipa sana ukipata eneo, maana comision zake ni za ukweli.
tukikupim utapata shida kila MTU kumjibu weka vitu vyote hapa tufaidike sote acha ubinafsi ni hayo tu.commision zipo kama zile za makampuni ya simu kikubwa ni kwamba banki kuu inaweka nguvu kubwa kwe uwakala wa banki ili kuifikisha banki kwa wananchi..mnaweza nipim ili niweze wapa maelekezo stahiki
sheria za kazi haziniruhusu boss nadhani ndo mda wa kufuata cha uvungunitukikupim utapata shida kila MTU kumjibu weka vitu vyote hapa tufaidike sote acha ubinafsi ni hayo tu.
Msaada kwa ufupi mkuu faida zao zipoje?fahari huduma inafaida kuliko hata tigo pesa uwakala wake unapatika tawini mimi ni mmoja wa mawakala
upo sawa...Unatakiwa kuwa na leseni ya biashara miaka miwili, tin, utambulisho wako, utambulisho wa/wadhamin wawili, 200k kwa ajili ya mashine ya kutolea risit, mtaji ni wewe, uwe na sehem ya kufanyia biashara. Ukihitaji mpigie 0717667790 kwa dar anakufuata. Hiyo ni NMB