Nawezaje kuwa Wakala wa benki. Mfano NMB na CRDB

sorry hivi unaweza kutumia lessen ya mtu unaemwamin
usijali. nakushauri nawe utembelee tawi lililo karibu ili walau upewe lile karatasi lenye requirements zote.
 
sorry hivi unaweza kutumia lessen ya mtu unaemwamin
hapo ni pagumu, kwa sababu watataka picha yake na kitambulisho chake, yani itakuwa kama vile yeye ndo afuatilia kwa ajili yako, kumbuka atafungua na account ya kuweka pesa. sasa hizo details zote kutumia za mtu naona haitakuwa poa.
 
shukran mkuu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…