Strong25
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 394
- 834
Habarini wakuu__nahitaji msaada wa mawazo ama ushauri au njia gani nipite ili niweze kufanikiwa kuingia marekani
_bongo maisha magumu sana
Kuna jamaa yangu yuko marekani kupitia yeye nataka namm nikanyage kwa biden
Msaada ninao uhitaji kutoka kwako.
Kwa upande wangu huku tanzania natakiwa nifanye nini na nini na yeye kule anatakiwa afanye nini na nini (hata yeye hajawai mvuta mtu so pia hajui hizi vitu)
Kuhusu mswala ya passport sio inshu saana mana naskia ni simple tu ila hapa kwenye "viza" ndo changamoto kuipata na kukubaliwa (yaani kwenye interview kupita).
Wazoefu naomba mnipe ABC
Pia nataka kujua kwenye interview huwa wanatumia lugha ya tanzania (kiswahili) ama wanatumia kizungu (namaanisha ukienda pale kwenye ubalozi wao uliopo tz)
Naombeni msaada wa hatua zote mpaka kupanda pipa (naskia kama kuna watu wanachezesha kuhusu kupata viza bila kufanyiwa interview lipoje hilo?
"Maswali yangu yamekua nimengi hii yote nikwasababu sijui chochote kuhusu hivyo vitu" wewe nisaidie kwa unachokifaham".
NAWASILISHA KWENU