Nawezaje kwenda Marekani?

Nawezaje kwenda Marekani?

Strong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
394
Reaction score
834
Habarini wakuu__nahitaji msaada wa mawazo ama ushauri au njia gani nipite ili niweze kufanikiwa kuingia marekani

_bongo maisha magumu sana
Kuna jamaa yangu yuko marekani kupitia yeye nataka namm nikanyage kwa biden

Msaada ninao uhitaji kutoka kwako.

Kwa upande wangu huku tanzania natakiwa nifanye nini na nini na yeye kule anatakiwa afanye nini na nini (hata yeye hajawai mvuta mtu so pia hajui hizi vitu)

Kuhusu mswala ya passport sio inshu saana mana naskia ni simple tu ila hapa kwenye "viza" ndo changamoto kuipata na kukubaliwa (yaani kwenye interview kupita).

Wazoefu naomba mnipe ABC

Pia nataka kujua kwenye interview huwa wanatumia lugha ya tanzania (kiswahili) ama wanatumia kizungu (namaanisha ukienda pale kwenye ubalozi wao uliopo tz)

Naombeni msaada wa hatua zote mpaka kupanda pipa (naskia kama kuna watu wanachezesha kuhusu kupata viza bila kufanyiwa interview lipoje hilo?

"Maswali yangu yamekua nimengi hii yote nikwasababu sijui chochote kuhusu hivyo vitu" wewe nisaidie kwa unachokifaham".

NAWASILISHA KWENU
 
Kwanza uwe na barua ya mwaliko.
Status yako hapo Tanzania,
shughuli unayofanya.
Ukienda utakua n Pesa kiai gani,
Kwa ajili y matumizi..
Utafikia kwa nani,
Utakaa muda gani,
Nani atabeba gharama zako Ukiwa kule.

Hakuna short cut ya kupewa visa bila interview.

Ukipata visa, ndipo unakata ticket ya go and return.
 
Kwanza uwe na barua ya mwaliko.
Status yako hapo Tanzania,
shughuli unayofanya.
Ukienda utakua n Pesa kiai gani,
Kwa ajili y matumizi..
Utafikia kwa nani,
Utakaa muda gani,
Nani atabeba gharama zako Ukiwa kule.

Hakuna short cut ya kupewa visa bila interview.

Ukipata visa, ndipo unakata ticket ya go and return.
Lugha gani inatumika kwenye kuhojiwa..?
 
Kwaiyo kama sijui ngeli interview sitaweza ..?
Utaweza wao lugha sio kigezo kikuu ingawaje ukiwa unajua Ngeli inakupa Confidence sana kwa maswali yao kama umejibu sahihi au laa maana baada ya interview utajua tu kama hapa Visa ipo au laa.

Kigezo kikubwa ni uwe na hela na kweli uwe unaenda kutembea kama ni vinginevyo wanajua hata ukifoji Bank Statement sasa hivi wanapiga simu Bank inatakiwa unyooke kweli kwenda kwa Pilato wao...
 
Utaweza wao lugha sio kigezo kikuu ingawaje ukiwa unajua Ngeli inakupa Confidence sana kwa maswali yao kama umejibu sahihi au laa maana baada ya interview utajua tu kama hapa Visa ipo au laa....
Kwahiyo kama sijui kabisa ngeli hilo sio tatizo..?
 
kuna visiwa vya marekani ukiweza fika hapo umefika USA
23px-Flag_of_American_Samoa.svg.png
American Samoa (AS)
23px-Flag_of_Guam.svg.png
Guam (GU)
23px-Flag_of_the_Northern_Mariana_Islands.svg.png
Northern Mariana Islands (MP)
23px-Flag_of_Puerto_Rico.svg.png
Puerto Rico (PR)
23px-Flag_of_the_United_States_Virgin_Islands.svg.png
U.S. Virgin Islands (VI)
 
Nipo kujifunza kutu maana japo mi nina mawazo ya kwenda ulaya sio Marekani
 
Mkuu una line ya tigo, Ni rahisi sana kwenda Marekani ila sasa mzee una bundle, kama huna na unatumia Tigo 👇🏻

Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Back
Top Bottom