kapime walau angles tatu au zote, na pia upime exact length of all sides ulete hapa ni calculate unachotakaMfano eno lina 15m, 18m, 21m na 10m tafadhali wataalamu nipeni squre meter..
Ndiyo maana unaitwa holoholoHiyo hesabu ni darasa la 4b wewe wakati huo ulikuwa unacheza visoda kama wachezaji. Pambana
Mfano eno lina 15m, 18m, 21m na 10m tafadhali wataalamu nipeni squre meter..
Mmh, kwa kweli hesabu ni janga la Taifa. Ungelikuea umelichora hapo watu wangekusaidia kirahisi sana. Njia rahisi sana hilo umbo ligawe vipande vitatu, yaani upate umbo la msitatiri 1 na maumbo mawili ya pembetatu. Baada ya hapo unatafuta eneo kivyake vyake na unakuja kujumlisha hizo areas ulizopata, hii ni hesabu ya darasa la 5B ambalo tulisoma mimi na Mh. Musukuma! Njia nyingine ni ile ya kutumia formula ya trapezoid. Kama ungekuwa umelichora hapa ingekuwa rahisi kukuelezea watalaam wa hesabu wapo hapa! Ambayo kwa kurahisisha formula unasema A=1/2(a+b)× h. Kwa heri mwalimu!Mfano eno lina 15m, 18m, 21m na 10m tafadhali wataalamu nipeni squre meter..
Tumia futi ya kambaMfano eno lina 15m, 18m, 21m na 10m tafadhali wataalamu nipeni squre meter..
kwani vipi mkuu?Ndiyo maana unaitwa holoholo
Mfano eno lina 15m, 18m, 21m na 10m tafadhali wataalamu nipeni squre meter..
umenikumbusha acha nikatumie AI kujua ukubwa wa plot anguMfano eno lina 15m, 18m, 21m na 10m tafadhali wataalamu nipeni squre meter..