Nay wa Mitego adai anatafutwa kuuawa

Anaogopa nini?
Mwambie aache ujinga,kama wakiamua kumdhuru wala hawatakuwa na muda wa kumpigia simu na wala hatajua ni kitu gani kilishafanyika.
Dead slowly slowly young man.🙂
This is Afrika.
 
Nay ni msanii mkubwa. Anatafuta kiki gani? Bora kasema na dunia itajua mpango wao
Atake kuuliwa kwa lipi?kuna mtu alitetemesha kuliko Lowassa?mbona hajatishwa
Au kwa nini wasitishwe lema na lissu?huyo ana uchungu kiki ya wimbo wake ilikufa pale Rais aliposema uacheni upigwe wimbo mzuri sana,ndio ulipokufa hapo
 
Anaforce Muziki

Anatafuta kiki kijinga

Hana lolote huyu zaidi ya sifa za hovyohovyo
 
Huyo nae anataka kunitafutia ban nyingine sasa hivi mxiee ngoja ninyamaze
 
Mi nilisema huyu dogo km anataka kuwa huru asikubali mwaliko wa Ikulu kwani pale Kuna vampires na atanyonywa tu damu.......
Amwachie Mungu ila ikitokea kweli bac ujumbe umefika na wahusika tunawajua tayari.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…