Nay wa Mitego adai anatafutwa kuuawa

Bashite kama anaweza kuvamia clouds tv na bunduki na kumtuma mtu amtishe Nape kwa bastola unadhani ni kipi cha kikatili kitamshinda?
Kama ....ume-note vizuri Bashite amekuwa ni kiumbe mwoga sana siku hizi .....any further misconduct will eat him alive....he knows that..
 
Kumbe nini cha kumfanya atafutwe hata kuuawa? Hivi kanisa kashajenga? Nilisahau.
unamkumbuka Dr.Ulimboka? walipomteka walichukua nini? Ben saanane je?

unaniuliza kuhusu kanisa? toka katangaza kujenga hadi sasa ni miaka mingapi imepita?
 
Let's be real guys!! Take this matter seriously!! This ain't a joke or kiki Nay mbona jina lake ni kiki ya kutosha!! Yanayoendelea nyuma ya pazia yanatisha!!!
 
Let's be real guys!! Take this matter seriously!! This ain't a joke or kiki Nay mbona jina lake ni kiki ya kutosha!! Yanayoendelea nyuma ya pazia yanatisha!!!
unajua kuna watu kazi yao ni kutetea hata vitu visivoeleweka,

hivi kuna kiki zaidi ya kuitwa na mkubwa hapa tz?
 
Bashite ni katili sana,yule ni mafia.
Mafia ni watu wenye kutumia akili sana katika kufanikisha mambo yao hata kuua bila kutambulika,,,,,, ila bashite ni kibaka tu,,,,, utaingiaje kwenye jengo bila kujua kuna kamela, na utajihami vipi,,,, bado sana bashite ana nafasi tu ya kusumbua watu ila bado yupo ngumbaro kuitwa Mafia.
 
Unamkosoa mtu hadharani then anakualika na unaenda aisee are immortal
Ungekuwa wewe ndiye umeitwa na mkulu ungekataa? Au ni rahisi tu kuongelea ya wengine.
 
Nasikia kuna watu wanataka waniue
Wapo[emoji350] [emoji350]
 

Siku zote ukiona ' Adui ' yako anatokea kukupenda ghafla na isivyo kawaida jua Israeli mtoa roho hayuko mbali nawe.
 
acha kujitia upofu ndugu, kisa havai kijani ndio unamuona kawaida, muulize hata mtoto mdogo kijijini huko jina la ney kama halifahamu
Ndio vile tu anatafuta mkate wake wa kila siku ila nafsi inamsuta. Msamehe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…