Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiki...za kipumbavu.....hata wauaji wanakuwa na sababu....reason to kill...sio kwa huyu.....he possesses no threat to anybodyWakuuwe wewe una nini bwana, acha sifa za kijinga
Kama Dodoma alikunywa juice ndo tushampoteza mr True boy
Kile kinywele kimoja kikianza kunyonyoka tu ujue tayari polonium imeanza kufanya kaziKama Dodoma alikunywa juice ndo tushampoteza mr True boy
Bashite ana sababu hapa kwa NayKiki...za kipumbavu.....hata wauaji wanakuwa na sababu....reason to kill...sio kwa huyu.....he possesses no threat to anybody
Bashite ana misaraba mingi...sidhani kama ...anaweza jitwisha ...zigo lingineBashite ana sababu hapa kwa Nay
Wana-JF wote wangekua hivi hadi raha....yaani mtu anakuomba ruhusa ya kusave kabisa!!!!Chukua.
[emoji16][emoji16] jamaa sijui alimaanisha nini...Wana-JF wote wangekua hivi hadi raha....yaani mtu anakuomba ruhusa ya kusave kabisa!!!!
Bashite kama anaweza kuvamia clouds tv na bunduki na kumtuma mtu amtishe Nape kwa bastola unadhani ni kipi cha kikatili kitamshinda?Bashite ana misaraba mingi...sidhani kama ...anaweza jitwisha ...zigo lingine
Lissu pale kisutu eenheeOohoooooooooo.. Oohooooooooooo,
Oohoooooooooooo
Hahahaaaa..... KabisaLissu pale kisutu eenhee
Ana ukubwa gani ney??Nay ni msanii mkubwa. Anatafuta kiki gani? Bora kasema na dunia itajua mpango wao
[emoji23] [emoji23] too lateOhoooo...utafanya atapike mazagazaga yoote!
Unamkosoa mtu hadharani then anakualika na unaenda aisee are you immortalKile kinywele kimoja kikianza kunyonyoka tu ujue tayari polonium imeanza kufanya kazi