Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

Baada ya Huawei kuondoka bongo na ugomvi wake na Lulu kupamba moto alifanya matangazo sana kwenye social network naona leo pia mna mfanyia promo
 
Sio mbaya kivile jamani sema Tu anakurupukagaaa
Binafsi yangu,hiyo siku niliyoonyeshwa sikuamini..hihihiii wacha zile picha anapiga tumbo analibana sana..ana 'kifriji'cha haja....huo Uso sasa ajajajajajajaa
 
kweli ana sura ngumu ila ana bonge la tako.

hapo kwenye gigy yeye na shule wapi wapi ni kweli kabisa. huyu demu bwege tu
 
Aaa wapi zamdaissa ww upo mwanza (bugando) yy yupo dar umekutana nae lini?
Natamani siku moja nifike Mwanza..Napaona kwenye Tv tu..
Huyo Gigy nilimuona Kimara Korogwe kwenye mihangaiko yangu.
 
Kashaitwaa kuja kusoma comments bas yaishee jaman
Atavimbaa kichwaa
 
Binafsi yangu,hiyo siku niliyoonyeshwa sikuamini..hihihiii wacha zile picha anapiga tumbo analibana sana..ana 'kifriji'cha haja....huo Uso sasa ajajajhahahajajajaa

hahahahhaa lakin anajionaga Nick Minaj
 
Gigy tako la kawaida,analizoom tu....sura nayo ya mjomba,na kidekio kapitisha miguuni kimegoma,huyu mnyaki anatuaibisha wenzie
Ahhahaha ujue kwenye huu uzi leo nilijiuliza hii siyo specie ya kunyumba kweli. Kumbe kitu mule mule
 
Zigo lipo bana ila tatizo ni unamlinganisha na nani ,Ukimweka hapo na Masogange ama Cherokee basi ndio tutasema hana zigo ,
Mkuu Umesema Chorokee.
Huyo Chorokee ni kawaida tu
Nenda Ruanda maana baraaaa tupu
 
Mkuu Umesema Chorokee.
Huyo Chorokee ni kawaida tu
Nenda Ruanda maana baraaaa tupu
Mkuu Cherokee kipindi chake alikua noma sio sasa hivi keshazeeka ,Rwanda wapi Bukoba tu hapo ama Mbeya mbona ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…