Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

Binafsi yangu,hiyo siku niliyoonyeshwa sikuamini..hihihiii wacha zile picha anapiga tumbo analibana sana..ana 'kifriji'cha haja....huo Uso sasa ajajajajajajaa
Uso mrefu km poromoko la mto
 
Kuna Siku nilimuona pale bamaga akiwa na vibinti f'lani hivi viwili pamoja na mwandishi wa GPL nusura nimfuate.. Tako analo kweli acheni kupotosha hapa... Mtoto ngozi yake ni nzuri na laini sana, ingawa sura yake ipo kama walivyo wasichana wengi wa mbeya
 
Kosa sura upate Zegembe
 
Kama ni mnyakyusa basi sawa maana wanyakyusa wana sura mbaya lakini wamejaaliwa
 
hiyo picha ndo gigi mwenywe huyo ama?? maana wengine sie haya mashikolo yenu tuko mbal sana... hasa hawa naniliu wenu wa kwenye fideo.. na bongo muvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…