Nay wa Mitego awatusi bongo movie

Nay wa Mitego awatusi bongo movie


Asema wale wote waloenda kushiriki mgomo ni matahira
Afananisha kugoma kwao na wasanii wa muziki kugoma nyimbo za kina drake zisipigwe. Msikize hapo juu

Hata mimi namuunga mkono Ney wa Mitego ,hawa bongo muvi aisee soko lao limeisha wanataka kuharibu soko la filamu za nje .

Bongo muvi wangekuwa na akili timamu ilibidi wajifunze kwenye hizo muvi za kigeni kipi wanacho ambacho na wao hawana kuliko huu upuuzi walioufanya


Ila kikubwa kinachokwamisha bongo muvi ni ubahiri wa kupindukia ,yani mtu anatengeneza filamu kwa milion 7 ikizidi sana milioni 10 wengine mpaka milioni 3 halafu filamu zenyewe wanatengeneza ndani ya siku tatu mpaka nne kisha inapelekwa sokoni ,sasa kwa ujinga huu kwa nini wasitoe kitu kibovu.?

Bongo muvi ilibidi wajitahidi ikiwezekana hata kwa kuchangishana wao kwa wao ,ikitokea mtu anataka kutengeneza filamu wanamsapoti angalau ifike hata milioni 50 na kwa kigezo hiki hata washiriki watakao patikana wataitendea haki maana muda mwingine wanachagua washiriki wabovu ili kukwepa gharama mwisho wa siku ndio hivyo wanatengeneza filamu mbovu.
 
Jini kuangalia kushoto na kulia

Mwizi kuvua viatu

Subtitles zinachapia english

Actors wanachapia English

Anatoka kuoga na make up bado iko usoni

Wanatuonesha wanapaki gari dk 10

Wanasema usiku kumbe ni mchana wameshusha mapazia

Wana ongea na visauti kama makatuni, wanakera.
Yote tisa mkuu ,kali kuliko ni mtu kuweka sumu na kuionja kama imekolea kabla ya mlengwa hajaila hiyo sumu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Niache kutazama APOCALYPTO niangalie jini anavuka bara bara huku akitazama kulia na kushoto asigongwe na gari, nitakuwa taahira na mimi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2]
 
Niache kutazama APOCALYPTO niangalie jini anavuka bara bara huku akitazama kulia na kushoto asigongwe na gari, nitakuwa taahira na mimi.
Na kuna ile jambazi anavua nje ya nyumba viatu kabla hajafanya uvamizi!
 
Nilikuwa najiuliza siku nyingi kwa nini Ney anajitambua kuliko wasanii wengi!!? Juz juz ndo nimepata jibu. Kumbe ni halfcast wa kinyaki na kichaga.
 
eti aliyewashauri ni Taahira du,kwani maandamano yalianzia wapi ? siyo kwa NURU kweli[OTE="chakii, post: 20765268, member: 170937"]Ha ha ha, Nay ashawachana watu huko tiyari[/QUOT
 
Back
Top Bottom