GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Bongo Movie walipoanza kujiingiza kindaki ndaki katika siasa tu ndipo walipoanza kujimaliza wenyewe.
Mkuu ' Njaa ' haina ' Ukomandoo '.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo Movie walipoanza kujiingiza kindaki ndaki katika siasa tu ndipo walipoanza kujimaliza wenyewe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Niache kutazama APOCALYPTO niangalie jini anavuka bara bara huku akitazama kulia na kushoto asigongwe na gari, nitakuwa taahira na mimi.
Nilikuwa najiuliza siku nyingi kwa nini Ney anajitambua kuliko wasanii wengi!!? Juz juz ndo nimepata jibu. Kumbe ni halfcast wa kinyaki na kichaga.
Hahahahaha Mzee TolaNiache kutazama APOCALYPTO niangalie jini anavuka bara bara huku akitazama kulia na kushoto asigongwe na gari, nitakuwa taahira na mimi.
Jambazi anavua viatu mlangoni!Niache kutazama APOCALYPTO niangalie jini anavuka bara bara huku akitazama kulia na kushoto asigongwe na gari, nitakuwa taahira na mimi.
Bila shaka na ww in miongoni kati ya hayo makabila mawiliNilikuwa najiuliza siku nyingi kwa nini Ney anajitambua kuliko wasanii wengi!!? Juz juz ndo nimepata jibu. Kumbe ni halfcast wa kinyaki na kichaga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] makabila hayo yanainyoosha cccm kiasi flan ukiangaliaBila shaka na ww in miongoni kati ya hayo makabila mawili
Wanakela yaan mpaka unajiuliza ubunifu huu wameutoa wapiHalafu hayo matrela yao ni nusu saa. Unaweza jua ndo muvi yenyewe kumbe trela.
Na uhakika asilimia zote Bashite anayo na ashampa mtajiMwenye namba ya Kajala naomba,nataka nimpe mtaji.