Nay wa Mitego comments kuhusu Nick Mbishi

Nay wa Mitego comments kuhusu Nick Mbishi

Haha haaaa,kwa hiyo akadumba ndio ya kumpondea nick mbishi anayeimba hip hop ngumu?
Huyu anatakiwa apewe kichapo heavy....

Atapata tu, mwenzake chid benz alikiona, sasa huyu nae masela wanasubiri aingie kwenye kumi na nane wamfyatue
 
Huyu Neema nae amepata cha kuongea sasa, kuna dogo mmoja anaitwa ESKIDE kamchana vibaya kwenye wimbo wake unaitwa DADA NEEMA, Nimeshindwa kuuweka hapa ila mwenye uwezo atusaidie ama angalieni YOUTUBE. (DADA NEEMA-ESKIDE)
 
huyo nikki nilikuwa sijawaji ona sura yake. la kushukuru ni kuwa ana siha njema
 
Namkubali sana Nick mbishi kuanzia Sauti ya jogoo mpaka malcom XI nitakosa mistari yako aisee
 
Huyu Neema nae amepata cha kuongea sasa, kuna dogo mmoja anaitwa ESKIDE kamchana vibaya kwenye wimbo wake unaitwa DADA NEEMA, Nimeshindwa kuuweka hapa ila mwenye uwezo atusaidie ama angalieni YOUTUBE. (DADA NEEMA-ESKIDE)

Last edited by a moderator:
ney ni bora ungenyamaza kimya bro,,,

huwezi kujilinganisha kabisa na nikk kwenye game,,,

muda mfup sana ambao nikk amekaa kwenye game amewa inspire mayank wengi sana,,,,tofauti na wewe,,,,

wack no 1,,,

acha mbali concious rymes,,jamaa ni bingwa wa mitindo huru TZ HANA MPINZANI MBAKA KESHO,,nani anabisha???????

kumbuka kwamba ney Anapewa promo kubwa kiasi hata mashabiki wake wanajiuliza,,HOW THIS,,,,,iko wazi kwamba promo imekuzid kimo,,,,,,,

wengine wanajiuliza,,,,perhaps there is something behind the scene,,,,,

kuhusu nikk mbishi,,,,ney NI BORA ANGEKAUKAAAAA,,,,,,,,
,,
 
Hata mtukane matusi ya mama waliowazaa bado Ney wa Mitego anaeleweka kuliko nyinyi na ndiyo maana mziki wake unalipa. Kwa sababu ya wivu wenu munatumia kashfa nyingi ili mumfanye Ney adharaulike lakini wapi. Chema chajiuza kibaya...
 
Neema Wa Mitego sijui kwanini nyimbo zake zinapewa promo wakati hajui kuimba wala kurap

Kwasababu zinachezeka
Nakula ujana + akadumba alafu afichi fichi maneno kuimba kwa mafumbo hii inapelekea hata wasio soma kumuelewa haraka na kurequest nyimbo zke redion
Mfano nasema nao ,itafahamika
 
Huyu Neema nae amepata cha kuongea sasa, kuna dogo mmoja anaitwa ESKIDE kamchana vibaya kwenye wimbo wake unaitwa DADA NEEMA, Nimeshindwa kuuweka hapa ila mwenye uwezo atusaidie ama angalieni YOUTUBE. (DADA NEEMA-ESKIDE)

Eskide nae ana upungufu wa kufikiri
Mfano Rmx zake za domo
 
ney ni bora ungenyamaza kimya bro,,,

huwezi kujilinganisha kabisa na nikk kwenye game,,,

muda mfup sana ambao nikk amekaa kwenye game amewa inspire mayank wengi sana,,,,tofauti na wewe,,,,

wack no 1,,,

acha mbali concious rymes,,jamaa ni bingwa wa mitindo huru TZ HANA MPINZANI MBAKA KESHO,,nani anabisha???????

kumbuka kwamba ney Anapewa promo kubwa kiasi hata mashabiki wake wanajiuliza,,HOW THIS,,,,,iko wazi kwamba promo imekuzid kimo,,,,,,,

wengine wanajiuliza,,,,perhaps there is something behind the scene,,,,,

kuhusu nikk mbishi,,,,ney NI BORA ANGEKAUKAAAAA,,,,,,,,
,,

Umekurupuka ww
Hivi ukiulizwa swali wajibu wako n kujibu swali
Yy kajibu swali aliloulizwa " ni vema kama unaona kitu akikulipi n bora ukatafute kitu chngne ufanye na akikosa cha kufanya aje nimpe ushauri wa bure "

Sasa apo ubaya upo wapi ?
 
Ifikie mahali mnaojiita mashabiki halisi wa Hip hop mkubali mabadiliko
Music now days is not about calture anymore its all about making money

Niki Mbishi na jamii yake wamepitwa na wakati, mnashinda humu kuwasifia wana nguzo za hip hop na vina wakati mifukoni empty ni upuuzi na mnawadumaza watakufa hawajawahi onja faida ya vipaji vyao

Huko usa kwenyewe wagumu wote wamekubali matokeo, mtu kama Lil wyne utasema ana rap au anafanyanini? But he got lot of cash

Niki mbish nani atamuita kwenye tamasha la hela kama anavyoita Ney, ni lazima uwe unauzika ndio waandaa matamasha watakuita, nilazima uuzike ndio sponsor watakufuata kwa matangazo

Lakini sasa niki masikini kazi kuitwa studio na kujitapa kwingi lakini muziki haujawahi mlipa chochote
Ni bora kweli afanye mambo mengine kuliko eti kukomaa wakati anazidi kurosti na miaka inaenda na hip hop utamaduni ndio inaishia ukingoni
 
Back
Top Bottom