Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hana lolote, watu sijui wanampendea nini huyu mtu???
Bora wewe naona,aisee huyu jamaa simpendi kabisa kuanzia music wake anaoimba hadi lifestyle yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana lolote, watu sijui wanampendea nini huyu mtu???
Ney ana tabia za wanawake wa uswahilini. Hajui hiphop wala bongo fleva.
Ni moja ya wasanii ninao wadharau sana
Huyo ney anaimba nini cha kumcheka mwenzie?
akadumba
Haha haaaa,kwa hiyo akadumba ndio ya kumpondea nick mbishi anayeimba hip hop ngumu?
Huyu anatakiwa apewe kichapo heavy....
Atapata tu, mwenzake chid benz alikiona, sasa huyu nae masela wanasubiri aingie kwenye kumi na nane wamfyatue
Huyu Neema nae amepata cha kuongea sasa, kuna dogo mmoja anaitwa ESKIDE kamchana vibaya kwenye wimbo wake unaitwa DADA NEEMA, Nimeshindwa kuuweka hapa ila mwenye uwezo atusaidie ama angalieni YOUTUBE. (DADA NEEMA-ESKIDE)
Huyo ney anaimba nini cha kumcheka mwenzie?
Neema Wa Mitego sijui kwanini nyimbo zake zinapewa promo wakati hajui kuimba wala kurap
Huyu Neema nae amepata cha kuongea sasa, kuna dogo mmoja anaitwa ESKIDE kamchana vibaya kwenye wimbo wake unaitwa DADA NEEMA, Nimeshindwa kuuweka hapa ila mwenye uwezo atusaidie ama angalieni YOUTUBE. (DADA NEEMA-ESKIDE)
Kweli Ney amewapa za uso na huo ndiyo ukweli. Eti mistari, mistari unampa nani wakati huna hela.
ney ni bora ungenyamaza kimya bro,,,
huwezi kujilinganisha kabisa na nikk kwenye game,,,
muda mfup sana ambao nikk amekaa kwenye game amewa inspire mayank wengi sana,,,,tofauti na wewe,,,,
wack no 1,,,
acha mbali concious rymes,,jamaa ni bingwa wa mitindo huru TZ HANA MPINZANI MBAKA KESHO,,nani anabisha???????
kumbuka kwamba ney Anapewa promo kubwa kiasi hata mashabiki wake wanajiuliza,,HOW THIS,,,,,iko wazi kwamba promo imekuzid kimo,,,,,,,
wengine wanajiuliza,,,,perhaps there is something behind the scene,,,,,
kuhusu nikk mbishi,,,,ney NI BORA ANGEKAUKAAAAA,,,,,,,,
,,