Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Kwan ulivyo post kwenye open forum ulitegemea nn ??
Ahsante.
Nadhani kama vitu havihitaji ufafanuzi vikapostiwe huko kwenye private pages.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan ulivyo post kwenye open forum ulitegemea nn ??
yani kama mimi, nilikua simpendu huyu dogo, ila nampendaje sasa, anajitambua
Mie nimeipendea kitu kimoja hii thread! Mwanzoni watu walikuwa wanajificha kwenye kivuli cha msanii hatakiwi kuwagawa mashabiki ingawaje wenye akili zao walishafahamu kwamba kinachowakera ni kwa sababu tu Diamond hakupigia kampeni chama chao!! Leo hii kwavile Ney anakipigia kampeni chama chao, hakuna tena neno kwamba msanii hatakiwi kuwagawa mashabiki as if huyo Ney mashabiki wake wote ni UKAWA!Nay ni mchaga wolper ni mchaga na sera ni kaskazini lazima ichukue nchi.
The question was very simple! Do I owe you any explanation? YES/NO!Kwan ulivyo post kwenye open forum ulitegemea nn ??
Mwenye wimbo huo wa Ney si auweke hapa jamvini kwa manufaa ya wote Team Makofuri na team baba lao Mabadiliko.
Nielekeze jins ya kuuweka mkuu
Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako.
Mafuriko hakuna wa kuyazuia...
#TukutaneOctober
Wewe binti ! Chunga adabu.
Nay ni mchaga wolper ni mchaga na sera ni kaskazini lazima ichukue nchi.

Ndio hivyo sasa kama hautaki kanye Bvr.
Yeap katoa wimbo kumuhusu yye aisee