Nay wa mitego kafunguka

Nay wa mitego kafunguka

Yaani huyu ndo Wa kumfollow anajielewa sio hao magalasa.Say yes to Lowassa.
 
Nay ni mchaga wolper ni mchaga na sera ni kaskazini lazima ichukue nchi.
 
Nay ni mchaga wolper ni mchaga na sera ni kaskazini lazima ichukue nchi.
Mie nimeipendea kitu kimoja hii thread! Mwanzoni watu walikuwa wanajificha kwenye kivuli cha msanii hatakiwi kuwagawa mashabiki ingawaje wenye akili zao walishafahamu kwamba kinachowakera ni kwa sababu tu Diamond hakupigia kampeni chama chao!! Leo hii kwavile Ney anakipigia kampeni chama chao, hakuna tena neno kwamba msanii hatakiwi kuwagawa mashabiki as if huyo Ney mashabiki wake wote ni UKAWA!

Siasa ya mwaka huu imeingiliwa! Burudani nayo imeingiliwa! Mtu anataka akimpenda msanii atataka hata demu au basha wake awe ni yule anayemtaka yeye!! Likija suala la siasa basi akipende chama kile anachokipenda yeye shabiki! Na kama msanii tangu hapo alikuwa anamchukia, basi akiwa chama kile asichokipenda yeye ndo anazidisha chuki zake kwake! Maajabu sana haya!

Ulimbukeni mbaya sana..! Thanks God, ingawaje moja ya Tano bora wa CCM ambao walipitishwa na Kamati ya Maadili ni mtu ambae hafiki kwao bila kupita barazani kwetu huku nikiwa nafahamiana nae physically lakini sikuwahi kujitoa ufahamu hata siku moja na kuanza kumwaga ma-threads ya kumsifia na kumpigia debe JF! Sana sana alipokuja kutoswa kwenye Halmashauri Kuu nikaona afadhali nitapumzika sasa simu za Bro ambazo ilikuwa kila wakati lazima anipigie na kuongea kwa zaidi ya saa kwa sababu tu mtu wa kwao anagombea urais!! Kaka yangu huyu nimefahamu mwaka huu kwamba kumbe nae ni mpenzi wa siasa!
 
Mwenye wimbo huo wa Ney si auweke hapa jamvini kwa manufaa ya wote Team Makofuri na team baba lao Mabadiliko.
 
Nielekeze jins ya kuuweka mkuu

Kwenye kitufe chako cha Post utaona kuna menu za kuweka Link kama unataka, kuweka Video n.k pitia utaona mkuu hayo ni maelezo ya awali ila badae nitakuja / watakuja na maelezo kamili .
 
malofa hapa watampenda kisa yuko upande wao lol...!
 
Back
Top Bottom