Nay wa mitego kafunguka

Nay wa mitego kafunguka

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,332
swwwwwwwwwwwwww.jpg
 
Safi sana kijana kwa kutoa lako la moyoni.hayo ndiyo maamuzi sahihi ya kiume.salute kwako bro
 
Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako.
Mafuriko hakuna wa kuyazuia...
#TukutaneOctober

Sipendi miziki ya bongo fleva lakini always wanamuziki wa hip hop nawakubali sana maana huwa sio wanafiki!

Wana-hip hop wote duniani ni wanasiasa!

Big up Ney wa Mitego
 
Nay nakukubali sana na ninaomba siku ya burudani kwa Lowasa uwape vidonge vyao hasa ule wimbo wa MALA BANGE MALA MATUSI SASA CAMPENI GANI uwaendee wana CCM wote.
 
Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako.
Mafuriko hakuna wa kuyazuia...
#TukutaneOctober

Neema huyo ana akili za kike. Hajaongea ka timamu. Angeongea critically yeye alitegemea nini na wanaongea nini' she s stpd.
 
Neema huyo ana akili za kike. Hajaongea ka timamu. Angeongea critically yeye alitegemea nini na wanaongea nini' she s stpd.

Ndio unaongea nini sasa?
Ujinga ujinga tu.
 
Back
Top Bottom