Nay wa Mitego ndio msanii aliyewahi kumiliki watoto wakali kuliko msanii yeyote wa kiume unayemjua Bongo

Nay wa Mitego ndio msanii aliyewahi kumiliki watoto wakali kuliko msanii yeyote wa kiume unayemjua Bongo

Si mjinga mjinga we hujui wanawake wanapenda wanaume wajingawajinga for short term relationship
 
Duh kama uzuri ni kuwa na minyama nyama sawa, siwema ana umbo zuri ila sura nzito.
Hivi siwema amekwishatoka gerezani alikokuwa kawekwa kwa kosa la ku mblackmail mme wa mtu?
Huyo dada nlimuona mara 2 sura yke haina mvuto plus shepu kma ya wema ,anatembea kapandisha mabega juu kma paa la ccm kirumba
 
Hizo picha zote peleka jukwaa LA picha Uzi wa watoto wakali maana wakidhi vigezo
 
Back
Top Bottom