Nay wa Mitego: Nyumba ya Mill 300 Diamond aliyonunua South Africa mimi nimejenga Tabata

mkuu Von Mo upo vizuri ktk mchanganuo.
 
Eneo la nyumba ilipo ndio Issue mzee...wabongo wana mijumba sema hizo location ndio majanga! mtoto hata akipaliwa na uji kufika hospital au ukiita ambulance ni majanga!
 
Huwezi fananisha nyumna ya Mil 300 iliyopo Masaki na ya Bilioni iliyopo Bunyokwa Magengeni. Wenye uelewa watakuwa wamenielewa.
 
Kuna mtaalam hapo kapigiwa simu kasema nyumba ya kawaida unajengga kwa 25m ukiwa na kiwanja. Wabongo tunapenda kukuza sana vitu. Mimi nimejenga recently mpaka sasa hivi imegharimu 25m nimehamia, bado vitu vidogo na fence approx another 5m needed total itakuwa around 30m. Na nimefanya very high quality finishing na baadhi ya vitu nime import.

Wengine mnapigwa nyumba ya 30m unaishia kujenga kwa 60m. Nina rafiki yangu fundi ujenzi anasema 70-80m anasimamisha ghorofa mpaka kuezeka inabaki finishing tu ambayo inaweza kukufikisha 160m total.

Ila ukimuuliza mtu atakwambia ni ghorofa la 300m au 500m.
 
Je na huyo ambae anaendesha X6 ya msaada ambayo aliinunua mwanaume mwenzake ikiwa used kutoka japan then ikalamba km nyingi bongo ndo mpaka hao mabisi zake domo wakampooza mshkaji ili wampe domo
Ulikuwepo kwny izo process zote....
 
then what? kila mtu anaishi maisha yake, hata kama kapanga why do we care?
 

Ulishawahi kuja sauzi??

Unajua maeneo ya kitajiri au unaongea tu kishabiki
 
hahaha, sawa utaongezea basi
Kuna Mambo mengi nimeyaacha hapo MO11,
Mfano unaposema finishing ni Pamoja na Pavings, 1pc ya pavings ni 300/=, sasa Pavings unaweza chukua zaidi ya 20,000 bado fundi!!!!

Hapo itakuwa tayari
Hivi Paving wanauza kwa Piece au kwa Square metre?
 
Nyumba ya mil.300 halafu anamiliki murano old model na prado model ya kati......wasanii wa bongo kwa kujikweza haeajambo ndio maana chibu huwa anaweka na video kabisa kumaliza ubishi....sasa huyu wa tabata hata picha hajaweka
Kwa nyumba 300m kawaida sana
 
Napingana na wewe milion 300 inatoa nyumba nzuri sana yaani sana
 
hahaha, sawa utaongezea basi
Kuna Mambo mengi nimeyaacha hapo MO11,
Mfano unaposema finishing ni Pamoja na Pavings, 1pc ya pavings ni 300/=, sasa Pavings unaweza chukua zaidi ya 20,000 bado fundi!!!!

Hapo itakuwa tayari
Umeshawahi kuona nyumba ya million 150 sio mia tatu
 
Hawajengi kule wananunua
 
Leo nimekua njia moja nawewe sababu ujenzi unaufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…