common sense za mtoto wangu mdogo 2yrs old, anasema baba ni Roma, (Shida kwetu sisi wakubwa kuelewa!) maana huyo ndiyo mhusika mkuu, sterling mkuu na victim, mwingine huyo ni 3rd party tu, hana umuhimu wowote, zaidi ya kuingiza kale ka.single ka mzikisiasa.