Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Roma kacheza movie kama sterling lkn mwishoni naona kama movie inataka kuisha kizembe
 
ni domo coz alitoa hadi nyimbo na meneja wake aliitisha kikao cha wasanii waende kwa makonda
jiulize kwenye ile nyimbo alijuaje kama roma atatekwa?
Sio kwamba aliirecord baada ya roma kutekwa
 
Sina baba kama kipo huko usiache kunistua.


Huku niliko vipo vya kumwaga lakini kwanza inabidi uwe kibari cha kufanyakazi hapa. Kwakuanzia tu beba hata mashati ya mitumba ukatembeze.
 
Unategemea iwe movie nzuri kweli kama

Staring Roma

Director Bashite,

Editor Bashite,

Location Le Muntuz,

Camera JB

Make up Ray Kigosi
 
Hili dongo kwa roma.....ata mm tokea mwanzo nilishtuka adi uzi humu jf nilianzisha, ukweli apa roma kacheza filam la kichina na mda cyo mrefu itabumbulika tu.....atekwe roma kwa kipi alichokifanya washindwe kumteka nay ambae katoa adi wimbo wa kumponda bashite.....roma umetuchezea akili na movie lako la kichina mda cyo mrefu itajulikana tu
Wew nae hujaelewa kitu hebu kwendaaaa!
 
Hapo kwenye "mwana katoa boko" ndipo kiini cha post yake na anayelengwa....
 
Huyu neema wamitego naye sasa akae kimya alitaka kupotezwa awali raisi akamtetea sasa anamchonoa kipenzi cha mukulu achunge sana mdomo wake bora akae kimya kama diamond lakini neema huwa nimlopokaji sana sasa hivi kunautekaji unaoendelea nchini so asijekupotea
 
Back
Top Bottom