Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo boko siku izi ni nyimbo?ukitaka kujua hayo maneno yanamhusu nani soma huko mwishoni eti mwana katoa bokooo.................roma hajatoa chochote aliyetoa ndiye katoa boko
wali.............................Kwa hiyo boko siku izi ni nyimbo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] bavichawali.............................
You are or you're .. not your.Your Great Thinker............. Respect.
Dongo la Diamond hilo...zungusha akili yako kijanaRoma dongo linamhusu
hakuna mashaka, sio kosa na zaidi kuliko yote mtu hufanya kile akipendacho sio vinginevyo, BAVICHA UVCCM or whtever yote ni maneno yako ww[emoji3] [emoji3] [emoji3] bavicha
Ha ha ha... bora mitangao ya kijamii ifungwe maana daaaah hatutakuja kupata maendeleo kamwe
Kabla ya mitandao ya kijamii mlikuwa na maendeleo gani?