Hapo jiwe lmeenda kwa Mond,kwa wimbo ake wa kimbea uleWakuu, kama jamaa kacheza chezo mbona anaonekana amepigwa na anatembea kwa kuchechemea,kama amecheza inawezekanaje atembee huku akiwa mnyonge na alipelekwa hosp kufanya nini, hebu tusubiri aongee mwenyewe maana mtendewa yupo acheni kujipa majibu wakati mtendewa yupo na ataongea.