Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Natabiri kwa siku chache zijazo ROMA atasainiwa WCB na kupewa mpunga wa maana hii ni asante toka kwa tale dai na bashite ili aingie rasmi kwenye system ile.
 
Ngoma kwa mondi bila shaka kuhusu nyimbo ile na mazungumzo yake na bashite kabla tukio

Kumbuka pia maneno ya kitenge
 
common sense za mtoto wangu mdogo 2yrs old, anasema baba ni Roma, (Shida kwetu sisi wakubwa kuelewa!) maana huyo ndiyo mhusika mkuu, sterling mkuu na victim, mwingine huyo ni 3rd party tu, hana umuhimu wowote, zaidi ya kuingiza kale ka.single ka mzikisiasa.
 
Wapenziiii watanzamaji movie yetu ya leooooo ni...........
 
Back
Top Bottom