Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Sakata la kutekwa kwa Roma limezidi kupamba moto baada ya Nay kushitukia Rafiki yao aliwachezea sinema.
Kwenye ukurasa wake ameandika haya.
naytrueboy1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua.
[HASHTAG]#Wapo[/HASHTAG][emoji121]️
  • naytrueboy2. Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, Tena inayo Rekodiwa kwa Camera ya Simu.?! Unategemea nini.? Nakuvua vyeo ata Kama Mkataba ni Mnono, Itaku Cost tu na utayumbisha Career yako.!
    Mwana Katoa Bokoo.!
Haaaa ni hatariii
 
Wakuu, kama jamaa kacheza chezo mbona anaonekana amepigwa na anatembea kwa kuchechemea,kama amecheza inawezekanaje atembee huku akiwa mnyonge na alipelekwa hosp kufanya nini, hebu tusubiri aongee mwenyewe maana mtendewa yupo acheni kujipa majibu wakati mtendewa yupo na ataongea.
 
ni domo coz alitoa hadi nyimbo na meneja wake aliitisha kikao cha wasanii waende kwa makonda
jiulize kwenye ile nyimbo alijuaje kama roma atatekwa?
 
Hili dongo kwa roma.....ata mm tokea mwanzo nilishtuka adi uzi humu jf nilianzisha, ukweli apa roma kacheza filam la kichina na mda cyo mrefu itabumbulika tu.....atekwe roma kwa kipi alichokifanya washindwe kumteka nay ambae katoa adi wimbo wa kumponda bashite.....roma umetuchezea akili na movie lako la kichina mda cyo mrefu itajulikana tu
 
Ulielewa maneno ya bashite kuwa ndugu zetu wote wanne watapatikana kabla ya j2 wakiwa salama, umeelewa nini hapo?
 
Back
Top Bottom